Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nadhani ni Mnec, Na mwekezaji ,wengine watajaziaHili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .
Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?
View attachment 2773641
So what ? kwanini asiungane na Chongolo huko Katavi ?Nadhani ni Mnec, Na mwekezaji ,wengine watajazia
Mkuu umeuliza nimejibu ,ila naona km umekuja kwa ukali, nisameheSo what ? kwanini asiungane na Chongolo huko Katavi ?
Bashungwa kawa Mwenyekiti lini ?Asas ni Mnec, pia ana vyeo huko CCM mkoani Iringa, so ni lazima tu awepo kwenye ziara za mwenyekiti wake
Usiogope, hii ni JFMkuu umeuliza nimejibu ,ila naona km umekuja kwa ukali, nisamehe
Wanataka kuficha nini ?Kwanini matajiri au watu wenye uwezo kifedha ni Wa NEC huko CCM?
Wew kaza fuvu tu, ila MNEC huyo kuwa kwenye ziara za viongozi sio jambo geni wala baya, + huyo jamaa anafanya makubwa sana nyanda za juu kwenye ufugaji, anainua wakulima wengi sanaaa, so hata viongozi wakifika lazima kumsabahi mtu kama huyoBashungwa kawa Mwenyekiti lini ?
mito yote huelekeza maji yake bahariniKwanini matajiri au watu wenye uwezo kifedha ni Wa NEC huko CCM?
Jamaa anaendekeza upinzani muda wote, nadhani kuna jibu lake alitaka kulisikiaWew kaza fuvu tu, ila MNEC huyo kuwa kwenye ziara za viongozi sio jambo geni wala baya, + huyo jamaa anafanya makubwa sana nyanda za juu kwenye ufugaji, anainua wakulima wengi sanaaa, so hata viongozi wakifika lazima kumsabahi mtu kama huyo
Wanataka kuficha nini ?
Jibuni maswali tunayouliza .Umaskini ni kitu kibaya sana,mbaya zaidi yule ambae alikuwa maskini muishi kama peponi hapa na tajiri aishi kama motoni hayupo Sasa,mmebakiwa kuroga tuh sasa
MNEC na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la mkoaHili ni lazima liwekwe wazi , kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile , hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM , Hili halikubaliki .
Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii , ana cheo gani na alichaguliwa na nani ?
Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama , kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo ?
TUMESTUKA !
View attachment 2773641