Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

Asase nimlipa kodi namba 1 mkoani iringa wewe huna hata kuku nani atakaye kujua
 
Wew kaza fuvu tu, ila MNEC huyo kuwa kwenye ziara za viongozi sio jambo geni wala baya, + huyo jamaa anafanya makubwa sana nyanda za juu kwenye ufugaji, anainua wakulima wengi sanaaa, so hata viongozi wakifika lazima kumsabahi mtu kama huyo
Naongezea hakuna anae mfikia kwa ulipaji kodi kusini mzima
 
Anataka jimbo la iringa mjini by 2025,ameshaanza kujipenyeza!
 
Mkuu hata huko Ungereza Conservative Party nayo huwa inawablack mail Waingereza wenye asili za kigeni?
Mkuu huku kama kuishi kunafaa sana kwani hata police hawatembei na bastola zaidi ya pingu
Huku siasa ni elimu tofauti na huko ambapo mwanasiasa akiimba tu anapewa ukuu wa mkoa

Huku Elimu inakubeba na wapinzani safari hii wanachekelea kwa sababu ya Sunak kubadili Gia angani kuhusu mradi wa HS2
Man na Birmingham wamesema hawata vote conservatives

Kuhusu ubaguzi eti wewe kabila gani ni huko tu
Halafu hata ukifuatilia hao wajinga wanaouliza ukabila unakuta na yeye babu yake niMzambia au Mmalawi
 
Wajomba zao ni wa kuleeee
 
πŸ˜‚ Mkuu umechakaza...
Ndio ukweli πŸ˜„
Mimi nimesoma miaka ya 60 nawajua wazee Enzi hizo wametokea Malawi na Zambia wengi tu waliingia wakati wa mkoloni wakiwa na Elimu zao na watoto wao nimesoma nao leo wamestaafu ila wajukuu ndio wameshika post nzuri nzuri na humuelezi kitu na wala hasemi ni Wabemba wala Tumbuka ila watataja makabila walipozaliwa tz tu

Huu ni uoga wa hali ya juu
Mbona wayahudi hawaachi asili yao huko πŸ‡ΊπŸ‡Έ au Irish?

Tena wanajisifia haswa
Mda si mrefu Biden alikuja hapa akatembelea na Ireland anasema ndio kwetu huku

Ifike mahali muanze kujisifia asili zenu
 
Brother haujui kitu hizo biashara ni za hao weupe viongozi wanalipwa royalties kafanya uchunguzi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…