ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

Lete ushahidi/ kumbukumbu ya hizo mechi tuone. Sio kuleta habari za kwenye vijiwe kwenye jukwaa unaloweza kuleta hadi ushahidi
Hapa siyo mahakamani..hakuna kesi hapa..ipo taarifa kuhusu uchunguzi/utafiti uliofanywa
 
Daaah!! Mtani hali ilikuwa tete.

Ila mujiandae tunawasubiria. Msitukimbie tu. 😎
🤣🤣🤣🤣 line man mlipa shilingi ngapi, maana Moringa alipigwa daluga nje ya boksi refa akatenga lineman akauchuna kama hakuona vile. Ila jana ile penati mlitembelea mbeleko.
 
🤣🤣🤣🤣 line man mlipa shilingi ngapi, maana Moringa alipigwa daluga nje ya boksi refa akatenga lineman akauchuna kama hakuona vile. Ila jana ile penati mlitembelea mbeleko.
🤣🤣 Mtani refa naye ni binadamu eti. 😎

Na kwa kuwa tushasonga mbele mfunge Azam leo usitukimbie.
 
Toa uchambuzi wako game ya yanga n azam
 
Malikia Fc mngekatwa points 15, una uhakika hizo ndio points pekee mlizodhulimu wapinzani wenu?

Unajua psychological impacts kwa timu nyingine pale wanapoona timu moja inabebwa? Hoja sio idadi ya points, bali hata ingekuwa points 5 wamepora we zao bado huwezi jua madhara yake kwa timu pinzani.

Ile krosi isingepigwa na Kapombe kwa kuwa mpira umetoka lisingekuwa goli, tayari points 2 zingepungua

Mnyero United msipobebwa ni wepesi sana, mngepapaswa sana
 
Unanilipa Tsh. ngapi, usinipangie cha kuchambua

Na wewe toa uchambuzi wako mechi ya mikia na Azam, mechi zote ninazozionaga mimi huwa mnabebwa
Toa uchambuzi wako game ya yanga n azam
 
Mtani Azam tunamlamba kisha mto msimbazi unafurika hadi jangwani. Na hatusubiri finali ni nusu fainali tu tukutane msije mkatutoroka
Kila la kheri Mtani.

Tunawasubiria.
 
Aanze kuomba radhi kwenye hili tukio, penati ya wazi Yanga alinyimwa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…