ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

ASFC: Yanga yatinga Nusu Fainali baada ya kuichapa Kagera Sugar 2-1

Lete ushahidi/ kumbukumbu ya hizo mechi tuone. Sio kuleta habari za kwenye vijiwe kwenye jukwaa unaloweza kuleta hadi ushahidi
Hapa siyo mahakamani..hakuna kesi hapa..ipo taarifa kuhusu uchunguzi/utafiti uliofanywa
 
Daaah!! Mtani hali ilikuwa tete.

Ila mujiandae tunawasubiria. Msitukimbie tu. 😎
🤣🤣🤣🤣 line man mlipa shilingi ngapi, maana Moringa alipigwa daluga nje ya boksi refa akatenga lineman akauchuna kama hakuona vile. Ila jana ile penati mlitembelea mbeleko.
 
🤣🤣🤣🤣 line man mlipa shilingi ngapi, maana Moringa alipigwa daluga nje ya boksi refa akatenga lineman akauchuna kama hakuona vile. Ila jana ile penati mlitembelea mbeleko.
🤣🤣 Mtani refa naye ni binadamu eti. 😎

Na kwa kuwa tushasonga mbele mfunge Azam leo usitukimbie.
 
Labda refa wa jana alilamba posho, maana mwishoni hata mchezaji wa Kagera akipulizwa na upepo refa alikuwa anatenga faulo

Juma Nyoso alimchezea rafu mbaya Molinga lakini hakupewa hata kadi ya njano

Acha mechi zote, acha hata ile ya Yanga ambayo Kagere alipewa penati akifanyiwa faulo nje ya 18, acha yale magoli ya offside ya simba ya mechi dhidi ya Polisi na Namungo, acha yale magoli ambayo kapombe anapiga krosi kutoka nje ya Uwanja na Kagere anafunga, acha mechi yenu ya FA dhidi ya Mwadui refa anasema forward wa Mwadui kaotea wakati hajaotea.

Tuongelee mechi ya juzi dhidi ya Prison, mechi iliyowapa ubingwa, mechi ambayo beki wenu anashika mpira kwenye penati box lakini refa anapeta. Nina mifano mingi sana ya mechi mlizobebwa, nimechoka ku type.
Toa uchambuzi wako game ya yanga n azam
 
Malikia Fc mngekatwa points 15, una uhakika hizo ndio points pekee mlizodhulimu wapinzani wenu?

Unajua psychological impacts kwa timu nyingine pale wanapoona timu moja inabebwa? Hoja sio idadi ya points, bali hata ingekuwa points 5 wamepora we zao bado huwezi jua madhara yake kwa timu pinzani.

Ile krosi isingepigwa na Kapombe kwa kuwa mpira umetoka lisingekuwa goli, tayari points 2 zingepungua

Mnyero United msipobebwa ni wepesi sana, mngepapaswa sana
 
Unanilipa Tsh. ngapi, usinipangie cha kuchambua

Na wewe toa uchambuzi wako mechi ya mikia na Azam, mechi zote ninazozionaga mimi huwa mnabebwa
Toa uchambuzi wako game ya yanga n azam
 
Mtani Azam tunamlamba kisha mto msimbazi unafurika hadi jangwani. Na hatusubiri finali ni nusu fainali tu tukutane msije mkatutoroka
Kila la kheri Mtani.

Tunawasubiria.
 
Mnyero FC
IMG-20200701-WA0004.jpeg
 
Aanze kuomba radhi kwenye hili tukio, penati ya wazi Yanga alinyimwa
 
Back
Top Bottom