Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

Weka andiko ndugu yangu , nami nitakupa andiko kutoka ndani ya Quran kuwa hata Mtume Mohammad alikuwa na dhambi ukibisha nitakuongeza hata hadith sahih

Kila mtu anaweza kujikinga na dhambi mwenyewe sio Mungu kumkinga maana ukisema Mungu anamkinga mtu dhidi ya uovu maana yake ni kwamba Mungu anawabagua watu na kuwapendelea maana atakuwa anawatengeneza wazuri na wengine anawaacha tu mwisho aliowaacha anawatupa jehanamu jambo ambalo si la kweli.
Inaonesha untka ubishani hlf iyo aya na hadithi zote nazijua

فقد اتفقت الأمة على أن الرسل معصومون في تحمل الرسالة، وفي التبليغ عن رب العزة سبحانه وتعالى، ومعصومون من الوقوع في الكبائر، وأما الصغائر فأكثر علماء الإسلام على أنهم ليسوا بمعصومين منها، وإذا وقعت منهم فإنهم لا يقرون عليها.
قال ابن تيمية: القول بأن الأنبياء معصومون عن الكبائر دون الصغائر هو قول أكثر علماء الإسلام وجميع الطوائف، حتى إنه قول أكثر أهل الكلام،كما ذكر أبو الحسن الآمدي أن هذا قول الأشعرية، وهو أيضاً قول أكثر أهل التفسير والحديث والفقهاء، بل لم ينقل عن السلف والأئمة والصحابة والتابعين وتابعيهم إلا ما يوافق هذا القول. انتهى كلامه، والدليل على وقوع الصغائر منهم مع عدم إقرارهم

Soma apo
 
Weka tafsiri tuwape watu elimu humu mimi nakuwekea yanayothibitisha Mohammad had sin
 
KUZALIWA nje ya Ndoa sio kosa lako.
Kosa ni wewe kurudia kuzaa nje ya Ndoa.
Japo utakosa privileges chache ila kwa Mungu bado wewe ni Binadamu anayekupenda.
Zinaa ni MBAYA. Zinaa IPIGWE VITA. Zinaa ikataliwe.

Pia KUZALIWA nje ya Ndoa kusikupe hisia hasi za kujidharau,kujichukia,kutojithamini.
Makosa ya wazazi yasikuhuzunishe.
Ukiitwa mtoto haramu/bastards/mwanaharamu lisikushtue.Take it simple. Kuitwa majina mabaya na watu ni kawaida kwa sisi binadamu hata kama ungezaliwa na watukufu.

Cha muhimu SOTE TUIKATAE ZINAA.Ukishindwa kujizuia basi walau usipande mbegu mahala ambapo HUJAOA.
 
Allah anamwambia Mohammad hivi:-

Quran 48:1.
Hakika tumekufungulia Ushindi wa dhaahiri

2.
Ili Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako yaliyo tangulia na yajayo, na akutimizie neema zake, na akuongoe katika Njia Iliyo Nyooka,

Katika aya nyingine anasema hivi (Allah hapa anamwambia Mohammad aombe msamaha wa dhambi zake mwenyewe na za waumini wengine )
[emoji116]
Quran 47:19.
Basi jua ya kwamba hapana mungu ila Mwenyezi Mungu, na omba maghufira kwa dhambi zako na za Waumini wanaume na Waumini wanawake. Na Mwenyezi Mungu anajua mahali penu pa kwenda na kurudi, na mahali penu pa kukaa.

Ikiwa Mohammad hakuwa na dhambi why hakuwa sure na aendako? Soma hapa anaongea hajui atafanywa nini
[emoji116]
Quran 46:9.
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi

Katika hadithi huko ndiko sipendi niguse maana huko kumeweka wazi Mohammad naye alikuwa mkosefu kama wengine tu na mfano wa kwanza ni ile ishu yake ya kuteka nyara watu katika misafara na kuwapora mali zao.Nyingine ni dhambi ambazo hazijatajwa wazi na bado Mohammad anakiri kwamba hata yeye bila rehema ya Mungu hawezi kwenda peponi kwa matendo yake(this means alikuwa mkosaji kama wanadamu wengine tu)

Sisi wakristo hatufichi udhaifu wa mtu , mtu akiua tunasema aliua, akizini vilevile tutasema ,

Haya karibu , utuoneshe kivipi Mitume hawakosei maana Biblia haisemi hivyo.
 
Kijna nilichokiona kwako kwanza umemezeshwa baadhi ya Aya na hadithi hlf nilichokiona pia unataka kufanya mafundisho ya ukristo yawe sawa na ya kiislamu hilo haliwezekani never ever

Hlf huujui Uislamu vzr izo aya apo nikizichambua utabaki kukaza fuvu tu kua mitume wanafanya madhambi

Sipendi kujichosha kwa mtu ambae hataki kueleweshwa
Hlf m nimekuekea ushahidi mzuri tu app juu ila kumbe ww huelewi kiarabu hlf unataka kukijadili kiarabu

Jiandae kesho ukampe kaisari hela yke au ww ni wa sabato?
 
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.

Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.

Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.

Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
Na je wanaozaliwa ndani ya ndoa baada ya mama kuchepuka, wanaitwaje?
 
Mungu niwa ajabu hata watoto waliopatikana kwenye mazingira ya dhambi bado anawapa uhai kuna kina;
John Athuman
Fatuma James
Glory Ramadhan
Godfrey Mohamed
Ally Sebastian
Christopher Abdulkarim
Paskazia Hassan
Omary Charles.
Nikionaga hii mixture tu hata sihangaikagi kuuliza
Ni kina nani hawa?
 
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.

Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.

Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.

Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
Kwa mujibu wa Imani ya mwarabu
 
Kijna nilichokiona kwako kwanza umemezeshwa baadhi ya Aya na hadithi hlf nilichokiona pia unataka kufanya mafundisho ya ukristo yawe sawa na ya kiislamu hilo haliwezekani never ever

Hlf huujui Uislamu vzr izo aya apo nikizichambua utabaki kukaza fuvu tu kua mitume wanafanya madhambi

Sipendi kujichosha kwa mtu ambae hataki kueleweshwa
Hlf m nimekuekea ushahidi mzuri tu app juu ila kumbe ww huelewi kiarabu hlf unataka kukijadili kiarabu

Jiandae kesho ukampe kaisari hela yke au ww ni wa sabato?
Umekimbia hoja ,hakuna aya ndani ya Quran inayosema kuna mtoto haramu
Nakupa lifework uitafute ukiipata nitaamini mimi sijasoma kitabu chenu hicho vizuri
 
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.

Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.

Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.

Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
So sisi mambo ya hukumu na dhambi haya tuhusu sio mkuu.
 
Kila kitu unacho kiona duniani kimewekewa utaratibu wa kukifanya na sio kufanya hovyohovyo tu.
Huo utaratibu umewekwa na nani?ikiwa ni hiyo unayeamini kauweka utaratibu (MUNGU)basi ujue umepigwa na kitu kizito Sana.

Inawezekana hata wazazi wako wote ni watoto walizaliwa nje ya ndoa,na wao utawataje,na wewe utajiitaje.

Tutafuteni pesa tuache Mambo ya kufikirika.
 
Ndo kwanza siwazi, mimi ni mtoto haramu lakini ni meneja kiwanda X cha cement. Pia nina hisa kwenye kampuni X ya vigae. Pia nina mtoto haramu aliyeko Addis Ababa Jeshini. Watoto halali wote wa father ni fundi Ujenzi kisesa
 
Back
Top Bottom