Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Yes, alikuwa mwarabu na nilimpenda nikamwambia akadai hata nayeye tukaamua kulalana so nikaenda kwao wakataka niwe muislim so ikashindikana kwetu hawataki niwe muislam wao wataki nioewe na mtoto wao mahakamani
Kwahiyo kwenu ndio waliamua hatma ya maisha yako na sio wewe? comment yako inaonekana wewe ulikua tayari kubadili dini ila tatizo likawa "Kwenu"
 
Kwahiyo kwenu ndio waliamua hatma ya maisha yako na sio wewe? comment yako inaonekana wewe ulikua tayari kubadili dini ila tatizo likawa "Kwenu"
Ukipenda sawa ila isiharibu dini Yako kuslim nikitu ingine ili hali mie ni mtoto wa mtumishi wakanisa ila walahi nampenda sana mkuu yaani nimemsahau ila dah ilikuwa inshu ingine
 
Ukipenda sawa ila isiharibu dini Yako kuslim nikitu ingine ili hali mie ni mtoto wa mtumishi wakanisa ila walahi nampenda sana mkuu yaani nimemsahau ila dah ilikuwa inshu ingine
Bado hujajibu swali langu,

Wewe binafsi ulikua tayari kubadili dini? Coz umesema kwenu ndio hawakua tayari,hujasema kua wewe ndio hukua tayari.
 
Mwanamke attention yake ya kwanza ni kwenye vitu ulivyonavyo na sio umbile
Ndio maana ili kumpata mwanamke kama kitu hapo ukipata chance mdanganye kuwa unacho, atakuamini, Ukiwa na kitu hata kama umeazima watakuamini they don't need any proof.
Wewe ni mwanamke????

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Yes, alikuwa mwarabu na nilimpenda nikamwambia akadai hata nayeye tukaamua kulalana so nikaenda kwao wakataka niwe muislim so ikashindikana kwetu hawataki niwe muislim wao wataki nioewe na mtoto wao mahakamani
Mkalalana, au sio!
 
Utasikia tu yule kaka ni my crush, hapo ujue kashamtamani. Msimu wa kombe la dunia wanawake wengi wao walivutiwa na Mbape ndio ujue ht wao kweli wanatamaa
 
Mwanaume awe mweusi, mrefu kiasi, anachomekea yan kava official, kavaa saa kali, alafu ananukia, aiseee lazima nimwangalia mara mbili mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…