Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
saa nyingine hapa ndugu ndio huwa kidogo mnapitiwa, misikiti yakutosha maana yake ni nini?
pale moshi maeneo ya rau kuna msikiti mkubwa lakini wanaswali waislamu 6 tu miaka nenda rudi, ndio maana kule angola misikiti imebomolewa si kwa sababu za kidini bali haina kazi na watu wanahitaji maeneo wayafanyie kazi.
kuna mijitu humu mivivu ya kufikiri iliyotawaliwa na dini huwa haina hata akili chache za kufikiri.
pale kariakoo mtaa wa uhuru kabla ya round about ya uhuru near rupia house kuna kanisa limeuzwa pale na walionunuwa ni waumini wa kiislamu na limegeuzwa kuwa mafremu ya maduka.
kiuchumi hii ni win win solution, kwanza pale hapakufaa tena kuendelea kuwa sehemu ya ibada maana imezungukwa na kelele za maduka ya simu pili eneo walilopata ni bora na kubwa maradufu na pesa nzuri tu ya kumalizia ukenzi ni kuweka miradi yao mingine.
huku ndio kufuata dini kwa akili na siyo kufungia akili kabatini.
Mkuu,umenifurahisha sana na hili bandiko lako..big up!!!