Waelimishe wasafishe ulimi wakati wa kuswaka na wasilale na shombo waswaki kabla ya kulalaKwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.
Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia.
Leo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...
Sio kweli. Ni uchafu tu wa mtuWalevi na wavuta sigara.
Elekeza namna sahihi ya kutibu hilo tatizo, hao unaowataka wawakague midomo huenda hawajui namna ya kulitibu.Kwa upande wangu huwa sifurahishwi kukaa sehemu mmoja na mtu anayenuka mdomo.
Inakuwaje mwanamke, au mke unamuacha mume wako anatoka nyumbani anaarufu ya kunuka mdomo? Yaani unakuta mbaba, au mkaka kwa muonekano ni mstaarabu sana na ananyazifa flan lakin akifungua mdomo wake unatamani kukimbia.
Leo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...
Tunajitahidi tusinuke midomo, japo ni muhimu vilevile kuwa na 'art' ya kuongea! ... usiongee kwa kujiamini kupita kiasi karibu na pua za wengine! ... kama kwenye kikao simama ukichaguliwa kuongea!Kwhy wote mliocomment hapa hamnuki midomo au ndio hamjijui.?
Kuna mvuta sigara asiyekuwa na kiharufuu 😁😁Sio kweli. Ni uchafu tu wa mtu
Harufu ni ya sigara itakukera km hupendi harufu yake.Kuna mvuta sigara asiyekuwa na kiharufuu 😁😁
Kwa kweli ubarikiwe kama unaweza kuwa karibu kwa masaa na mvuta sigaraHarufu ni ya sigara itakukera km hupendi harufu yake.
Inakuwa mbaya zaidi kama na mdomo ni mchafu. Ninaishi na mvuta sigara sijawahi kukereka harufu yake.
Ni kwamba asipokuwa msafi atanuka. Ninachokisia ni harufu ya sigara , kawaida naipenda ht nikisikia mtu akivutaKwa kweli ubarikiwe kama unaweza kuwa karibu kwa masaa na mvuta sigara
Na wew unavuta sigara.?Ni kwamba asipokuwa msafi atanuka. Ninachokisia ni harufu ya sigara , kawaida naipenda ht nikisikia mtu akivuta
Sivuti najua madhara yake so najitahidi nisikae nae karibu wakati anavuta. Ila najua ni lazima kuna muda napata harufuNa wew unavuta sigara.?
Kama huvuti si bora na wew uvute tuu.
Ungemega sehemu ya posho umnunulie mswaki na dawa mpe kama zawadi akafungile nyumbani kwakeLeo nimekaa na mzee mwenzangu kwenye seminar ya masaa matano aisee harufu yake kwakweli nikali nilitamani muda ufike niondoke, jamani wa mama huko jitahidini kuwakagua waume zenu...