Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

Ni sawa na kusema Watu walio na shida ya miguu kuwa na harufu kali hawaogi au hawanawi miguu.
Huo ni ugonjwa hata akipiga mswaki vipi lazima baada ya muda mfupi tatizo Lina endelea
 
Kuna dawa inaitwa mouth wash ukiona unanuka mdomo basi sukutua kila asubuhi ila ndo utaua hadi wadudu muhimu kwa mdomo wako.
Ama piga mswaki kila umalizapo mlo
 
🀣🀣🀣wanapenda kula kula ovyo
 
Umelala nao wote hao?
 
Utafiti uliofanyika unatia mashaka au ni kutaka kuidharirisha jinsi mojawapo. Utafiti wa kukutana kwenye semina tupunguze kukurupuka
 
Yani hili n janga kubwa sana, kuna mkaka nilishawah kudate nae , alikua handsome balaaa, njee n msafi balaaa, the day namkiss sikutaman kurudia tena , mdomo unanuka mavi yakasomee, mmmh yule kaka hapana jmn
Nimeshapona hilo tatizo mkuu, naomba tuendeleze mahusiano yetu tafadhali!!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Siku mkitofautiana utasikia ndo maana mbwembwe nyingiiiii mara sugua mdomo vizuri ....kumbe una mambo yako!!!!....

Ndo utazidi kuchukia......

Na ukute HATA havihusiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…