[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna namna unajiweka ndio maana wanakuja hao wanakuomba hela mamy.
Itakua unaonyesha uko desperate sana na mahusiano au sio pisi kali? [emoji85][emoji85][emoji85].
Level up..
Kabisaaaah yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una nyota ya kudangwa.
Kwa sababu hata kama una maisha mazuri au una hela wanaume wenye hela ndio wanapendaga wanawake wa hivi, na haimaanishi atakuomba hela bali atakuwa yeye anakupa. Tena atakupa nyingi kukuonesha anaweza kukumiliki.
"Mwenye nacho ndio huwa anaongezewa" siku hizi.
Ungemuuliza maana ya Mario, Nadhan usingembishia.Hapana Hilo nalipinga, marioo anadet e na tajiri mm nisgakwambia si tajir ninamaisha ya kawaida kabisaa
Marafiki wa jinsia gani?Hadi humu jf nilishawah kuwa na marafiki wawili wa kawaida tu ambao hatujawah Onana but tulikuwa tunawasiliana ,but urafiki wetu pia ukavinjoka baada ya kuwa wananiomba pesa
Mimi nataka kujua tu hiyo 90% ni kwa wanaume wangapi na hiyo 10% inasimamia wanaume wangapi ki idadi.Kweeema?
Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.
Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa
Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Achana na wanaume wazuri wa suraKweeema?
Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.
Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.
Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?
Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Kweeema?

Hivi mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuomba hela mwanamke?Nijaribu mimi hutajuta.Kwanza kanuni niliyonayo ni marufuku mwanamke kunipa hela yake.
Mimi ndo nimhudumie
Isiwe na filters maana tunapigwa sanaWeka picha yako upewe mungozo...
Sasa akadate wasiovutia tena?Achana na wanaume wazuri wa sura
Kabla hujazama in love na mkaka wa watu,mchunguze kazi yake,anauwezo wa kujihudumia?Kweeema?
Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.
Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.
Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?
Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Mwanaume anaombaje hela lakini? Nahisi naweza nikamblock hapo hapo. Uzuri wanajuaga Sina hela sasa wanaanzaje kuniomba [emoji1][emoji1][emoji1]Ila hela inapendeza kuombwa na mwanamke tu, mwanaume akiomba hela inakata nyg sanaaa
Ebu ludiaIla hela inapendeza kuombwa na mwanamke tu, mwanaume akiomba hela inakata nyg sanaaa
Fanya hip hop , [emoji1]Hadi humu jf nilishawah kuwa na marafiki wawili wa kawaida tu ambao hatujawah Onana but tulikuwa tunawasiliana ,but urafiki wetu pia ukavinjoka baada ya kuwa wananiomba pesa