Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Nyota ya kudangwa ipoje
 
Mbona wanawake kwangu ni Asilimia 100 wote ombaomba tu na hamsikii malalamiko wewe kidogo tu Tena imetokea bahati mbaya tu unacomplain unasema unachunwa ebu tupeni hela na sisi bana

Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
Hahahahahahah mwamba umeongea kwa uchungu sana i feel you brother!😅
 
Eeehh hata Mimi kwa kweli hapana siwezi kuwa mwanaume ninae omba omba tu kwa Mwanamke ni kujivua nguo na utu , Mwanamke ukila hela yake pasipo kusaidiana wote kwa pamoja lazima ipo siku hiyo pesa itakutokea puani
Na tulivyo na masimango sasa. Mwanaume anaishi kwa mgongo wa mwanamke namsikitiaga sana. Sisi moyo wa kulea mpenzi hatunaga ndo maana siku vikiumana tunatoa maneno yooote.
 
So bottom line ni kuwa unatoa, mazingira ya kutoa tu ndio yanatofautiana.

Mwanaume anakupa hela kila ukitaka, akikuomba siku kakwama unaachaje kumtoa, huo ni ubinafsi wa kwenda.
Namtoa ila sio kama hiyo ya njaa njaa anayosema mtoa mada. Sijawahi mpa mwanaume hela akikwama ila najua kabisa naweza kumpa siku ikitokea nimeombwa msaada.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28]daahh!no sugar coating at all
Mimi sio pisi Kali na siombwi helaa!!!
Eti sio pisi kali na siombwi hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Utakua wa kawaida sana [tako hauna pia] na unapenda wanaume ambao sio daraja lako ndo mana wanabaksha hela kama tu sababu ya kukuacha kwan usipowapaga si wanakutema?


Anyway umesema tukupe ukwel huo ndo ukwel

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Una liteni hapo unisaidie halafu nitakupa ushauri🐒
 
Ok! Kuna kitu utakuwa unakikosea katika hizo relation zako, huenda katika story zako utakuwa ni mtu unaejionyesha kuwa unazo sana au unajua sana kuzitafuta! Hili ni kosa ambalo hata mwanaume akilifanya ni lazima achunwe!
 
Asiye na Tako kumbe ndo wa kawaida? Au wewe unamaanisha kwamba mm ni mbaya wa sura na umbo?😀
 
So wanawake wasokuwa na Tako wote wanaimbwa hela?mm ninalonla kunitosha mm na mwili wangu?😀
 
mmebaki wachache according to % aliyotoa mtoa mada

congrats
 
Nadhani wapite hapa wasome huu uzi, wanawake wanahonga sana tu, ni maneno ya humu wanasema hela yao haitoki lakini mbona wana wanapewa sana tu na wanawake zao
 
Namtoa ila sio kama hiyo ya njaa njaa anayosema mtoa mada. Sijawahi mpa mwanaume hela akikwama ila najua kabisa naweza kumpa siku ikitokea nimeombwa msaada.
Mzigua umeshawahi kusimamia show ya lodge/hotel na mpenzi wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…