Asilimia kubwa tunanunua simu na laptop zenye uwezo mkubwa na pesa kubwa wakati matumizi yake ni madogo

Na sio kila anaenunua simu au laptop kali anataka kuchezea game sjui graphics

Mimi napenda bidhaa za apple, nanunua pc na simu sababu nazipenda

Mwingine ananunua sababu ya status, mwingine ananunua sababu ya usalama wa data zake
 
Uko sahihi technically..nimedumu na laptop yangu ya coreI3 kwa muda mrefu sana na kwenye upande wa programming softwares kadhaa zimekua zikinisumbua sana mpaka nilipokuja kamatia chuma moja matata juz tu hapo ya kama 3M kitu Hp touch pad co-i7 Ram 16 ssd 1Tb memory..graphics za hatar yan light keypad machine inasukuma mzigo mpaka masaa 10 nje ya umeme aloooo ni kasheshe .... humo ndani android studio unafungua na kufungga kama any other application..
Ni nomaaaaa
 
Na sio kila anaenunua simu au laptop kali anataka kuchezea game sjui graphics

Mimi napenda bidhaa za apple, nanunua pc na simu sababu nazipenda

Mwingine ananunua sababu ya status, mwingine ananunua sababu ya usalama wa data zake
Binafsi kwenye laptop nanunua speed... power rate ya batter
 
Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi.

Tuje kwenye simu huku ndio tatizo kabisa ndio maana kampuni nyingi zimeshaona kuna maboya wengi wa simu wasio jua simu hii kwa ajili ya nini na kwa kazi hipi.

Tujifunze kununua kitu kulingana na matumizi,nimeona bosi mkuu kutoka nje kaja na simu ya kawaida ila msimamizi wake hapa tz anatumia iphone 12 pro na macbook pro letina 2020 alafu hakuna la maana zaidi ya kuangalia email tu
Kitu roho inapendaaa
 
Wabongo umasikini umetujaa kwenye damu hata hautoki labda vizazi vijavyo tumia vitu vizuri ukiweza acha unyonge kuwa nani anatakiwa atumie hivyo vitu vizuri ukiweza tumia brand nzuri nyumbani pia drive gari Zuri,simu nzuri laptop nzuri vaa vizuri sio kesi wala hakuna siku ingine utafanya hivyo pakaa mafuta mazuri watoto nyumbani wale chakula kizuri Mzee usimamie kujua au ukiweza kula na watoto mara kwa mara sio chakula kizuri unakula bar huku watoto nyumbani wakisota...
 
The hardest thing about the business is minding your own🚶🚶🚶
 
Wabongo umasikini umetujaa kwenye damu hata hautoki labda vizazi vijavyo tumia vitu vizuri ukiweza acha unyonge kuwa nani anatakiwa atumie hivyo vitu vizuri ukiweza tumia brand nzuri nyumbani pia drive gari Zuri,simu nzuri laptop nzuri vaa vizuri sio kesi wala hakuna siku ingine utafanya hivyo pakaa mafuta mazuri watoto nyumbani wale chakula kizuri Mzee usimamie kujua au ukiweza kula na watoto mara kwa mara sio chakula kizuri unakula bar huku watoto nyumbani wakisota...
Nani ka kwambia umaskini.ishu unachoenda kukinunua ndio matumizi yake.
Kisa na pesa ni nunue tu,mzungu mwenyewe anaweza kucheka.
Mfano unapesa unavosema wewe unaenda kununua laptop ya game na wewe sio mtu wa magame.
usipende kuwa mjinga mbele za watu.jifunze ukienda madukani omba ushauri ndio nyie mnapigwa kkoo hapo kisa ujuwaji
 
Mwanafunzi wa chuo akisomea ualimu aki major kwenye kiswahili na english anataka laptop corei 7 ssd 512 ram 16 ili hali anachosemea hakiendani kabisa na kifaa tajwa hapo juu
 
Huna hela nyamaaza izo ni akili za kimaskini fukuza pepo iloo mara moja, ko huwezi jenga nyumba kubwa mpka uwe na watoto wengi
 
Unaweza kuta mtu Kama mtoa mada kwa ujinga wake tu hapa Duniani hafaidi maisha na siku ya mwisho anaingia motoni

......

Personal mimo napenda gadgets nzuri tu na nimoja ya factor inayonisukuma kusaka pesa nyingi niwematumizi nisiwe na matumizi navyo nitanunua Mungu kaniumba nifaidi maisha Sasa Kama wewe umeumbwa uishi Kama muhazabe au Bushman vyema ukabaki na ujinga wako mwenyewe
 
Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi.

Tuje kwenye simu huku ndio tatizo kabisa ndio maana kampuni nyingi zimeshaona kuna maboya wengi wa simu wasio jua simu hii kwa ajili ya nini na kwa kazi hipi.

Tujifunze kununua kitu kulingana na matumizi,nimeona bosi mkuu kutoka nje kaja na simu ya kawaida ila msimamizi wake hapa tz anatumia iphone 12 pro na macbook pro letina 2020 alafu hakuna la maana zaidi ya kuangalia email tu

Ukitumia ya yenye gharama na uwezo mdogo, then what

Utilize the resources , kuna kufa mjomba.

Huyo boss wako aliekuja umejuaje kama ana hela au hana, huyo kumbuka ni mwajiriwa tu kama ulivyo wewe apo.
 
Back
Top Bottom