Askari Chauvin pamoja na kuwa na advocate mahiri alimtetea vilivyo lakini amekutwa na hatia justice has been served, niliicheki jana court session BBC toka saa moja usiku mpaka saa nne usiku alitumia vielelezo vingi kumtetea.Kesi ya aliyekuwa askari polisi aliyehusika katika mauwaji ya raia mwenye asili ya afrika, imefikia hatua ya tamati na muhusika kukutwa na hatia.
View attachment 1758800View attachment 1758801
sio kama huku kwetu mzeee !, wenzetu ni system inafanya kazi , hawategemei utashi wa rais .USA wanatakiwa wajivunie kumpata Rais Joe Biden, ni mpenda haki na hana ubaguzi anasimamia ukweli
Ana bahati kwamba kila Jimbo lina sheria zake kuhusu Hukumu ya kifo. Jimbo alilopo halina/halifuati hiyo sheria, angekuwa kama Texas huko nadhani wangemnyonga yule.Safi, sasa sijui alipewa death penalty au mvua ngap hapo
Death penalty, kwenye majimbo ambayo ipo, iko reserved for murder one [first degree murder].Ana bahati kwamba kila Jimbo lina sheria zake kuhusu Hukumu ya kifo. Jimbo alilopo halina/halifuati hiyo sheria, angekuwa kama Texas huko nadhani wangemnyonga yule.
Mkuu, kwa hiyo watu wameshangilia tu hiyo verdict, sio Adhabu ambayo haikutajwa?? [emoji848][emoji848]Death penalty, kwenye majimbo ambayo ipo, iko reserved for murder one [first degree murder].
Alichokifanya Chauvin hakikidhi viwango vya first degree murder.
Hivyo, hata angekuwa Texas au Mississippi, asingeshitakiwa kwa murder one.
Mkuu hii first degree murder unaweza toa elimu kidogoDeath penalty, kwenye majimbo ambayo ipo, iko reserved for murder one [first degree murder].
Alichokifanya Chauvin hakikidhi viwango vya first degree murder.
Hivyo, hata angekuwa Texas au Mississippi, asingeshitakiwa kwa murder one.
Waafrika hasa hao ( Wamarekani Weusi ) hawajaanza Kuuwawa ( Kuuliwa ) Kinyama na Wazungu ( Wamarekani ) Leo na Sisi huku tukifurahia hii Hukumu ni Kazi bure na wataendelea tu Kuwauwa.Kesi ya aliyekuwa askari polisi aliyehusika katika mauwaji ya raia mwenye asili ya afrika, imefikia hatua ya tamati na muhusika kukutwa na hatia.
View attachment 1758800View attachment 1758801
Jitolee kuongea hahaha ww ndo mnafiki mkuu.Waafrika hasa hao ( Wamarekani Weusi ) hawajaanza Kuuwawa ( Kuuliwa ) Kinyama na Wazungu ( Wamarekani ) Leo na Sisi huku tukifurahia hii Hukumu ni Kazi bure na wataendelea tu Kuwauwa...
Ambayo minimum Penalty yake ni nini?Death penalty, kwenye majimbo ambayo ipo, iko reserved for murder one [first degree murder]....
He is innocent than me and you!!Jitolee kuongea hahaha ww ndo mnafiki mkuu
Wacha tuendelee kuwa wanafki wale wajomba wakikunasa maji utaita mmaHe is innocent than me and you!!
yeye ni mnafiki na anajijua ni mnafiki , na nina imani anali address hilo tatizo aondokane na huo unafiki,
shida ipo kwetu mimi na wewe ,ambao tu wanafiki na hatutaki kukubali kama sisi ni wanafiki na ndio sababu unafiki afrika hautokuja kuisha
Haki iko mbinguniHe is innocent than me and you!!
yeye ni mnafiki na anajijua ni mnafiki , na nina imani anali address hilo tatizo aondokane na huo unafiki,
shida ipo kwetu mimi na wewe ,ambao tu wanafiki na hatutaki kukubali kama sisi ni wanafiki na ndio sababu unafiki afrika hautokuja kuisha
You're a good sample of a Wasted Sperm.Jitolee kuongea hahaha ww ndo mnafiki mkuu
Thanks a lot for educating that Dimwit.He is innocent than me and you!!