Askari DEREK CHAUVIN akutwa na hatia ya mauaji ya George Floyd

Kesi ya aliyekuwa askari polisi aliyehusika katika mauwaji ya raia mwenye asili ya afrika, imefikia hatua ya tamati na muhusika kukutwa na hatia.

View attachment 1758800View attachment 1758801
Askari Chauvin pamoja na kuwa na advocate mahiri alimtetea vilivyo lakini amekutwa na hatia justice has been served, niliicheki jana court session BBC toka saa moja usiku mpaka saa nne usiku alitumia vielelezo vingi kumtetea.
 
[emoji2295]
Screenshot_20210421_031035.jpg
 
Ana bahati kwamba kila Jimbo lina sheria zake kuhusu Hukumu ya kifo. Jimbo alilopo halina/halifuati hiyo sheria, angekuwa kama Texas huko nadhani wangemnyonga yule.
Death penalty, kwenye majimbo ambayo ipo, iko reserved for murder one [first degree murder].

Alichokifanya Chauvin hakikidhi viwango vya first degree murder.

Hivyo, hata angekuwa Texas au Mississippi, asingeshitakiwa kwa murder one.
 
Mkuu, kwa hiyo watu wameshangilia tu hiyo verdict, sio Adhabu ambayo haikutajwa?? [emoji848][emoji848]
 
Death penalty, kwenye majimbo ambayo ipo, iko reserved for murder one [first degree murder].

Alichokifanya Chauvin hakikidhi viwango vya first degree murder.

Hivyo, hata angekuwa Texas au Mississippi, asingeshitakiwa kwa murder one.
Mkuu hii first degree murder unaweza toa elimu kidogo
 
Kesi ya aliyekuwa askari polisi aliyehusika katika mauwaji ya raia mwenye asili ya afrika, imefikia hatua ya tamati na muhusika kukutwa na hatia.

View attachment 1758800View attachment 1758801
Waafrika hasa hao ( Wamarekani Weusi ) hawajaanza Kuuwawa ( Kuuliwa ) Kinyama na Wazungu ( Wamarekani ) Leo na Sisi huku tukifurahia hii Hukumu ni Kazi bure na wataendelea tu Kuwauwa.

Na kinachonishangaza zaidi ni kwamba Sisi Waafrika huku Kwetu 'tumeshupalia' hili 'Sakata' na kuona kuwa ni baya wakati huku huku Kwetu Afrika Waafrika tunauana 'Kinyama' tena 24/7 huku Viongozi ( Marais ) nao 'Wakiua' sana Watu ( hasa Watesi wao ) lakini 'hatushupai' hivi na tunanyama na kuona ni sawa tu

Tatizo Kubwa la Sisi Waafrika ni Unafiki.
 
Waafrika hasa hao ( Wamarekani Weusi ) hawajaanza Kuuwawa ( Kuuliwa ) Kinyama na Wazungu ( Wamarekani ) Leo na Sisi huku tukifurahia hii Hukumu ni Kazi bure na wataendelea tu Kuwauwa...
Jitolee kuongea hahaha ww ndo mnafiki mkuu.
 
Jitolee kuongea hahaha ww ndo mnafiki mkuu
He is innocent than me and you!!
yeye ni mnafiki na anajijua ni mnafiki , na nina imani anali address hilo tatizo aondokane na huo unafiki,
shida ipo kwetu mimi na wewe ,ambao tu wanafiki na hatutaki kukubali kama sisi ni wanafiki na ndio sababu unafiki afrika hautokuja kuisha
 
Wacha tuendelee kuwa wanafki wale wajomba wakikunasa maji utaita mma
 
He is innocent than me and you!!
yeye ni mnafiki na anajijua ni mnafiki , na nina imani anali address hilo tatizo aondokane na huo unafiki,
shida ipo kwetu mimi na wewe ,ambao tu wanafiki na hatutaki kukubali kama sisi ni wanafiki na ndio sababu unafiki afrika hautokuja kuisha
Haki iko mbinguni
 
Thanks a lot for educating that Dimwit.
 
Back
Top Bottom