DOKEZO Askari huyu aliyeomba rushwa waziwazi bado yupo kazini?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Wakuu,

Katika nchi ambayo ina uwajibikaji na Polisi inafanya kazi kweli sio kuweka “Patrol za Mtandaoni” kusaka wanaoikosoa Serikali na kuhamasisha uwajibikaji, askari huyu alitakiwa kuwa ameshachukuliwa hatua na hata umma kufahamishwa hatua zilizochukuliwa.

Tunao TAKUKURU, wanatumika kama political weapon badala ya kufanya kazi tarajiwa.

Nchi imevurugwa hii!

Hebu angalia video yenyewe
 
Attachments

  • Corrupt cop.mp4
    8.8 MB
Kuamkia leo nilibanwa na mkojo ni kojolea ukuta wa Takukuru na kuondoka .
Atawajishwa na nani wakati wote ndiyo kazi wanayofanya.

Kosa lake ni ufala wa kuamini kuwa watasha ni mafala kama waswahili.

Usikute kaajiriwa kwa kinoti cha ndugu yake.

Siku hizi hakuna askari bali matapeli wanaotumia ngao kupiga pesa.
 
Wenyewe serikalini waliita ni pesa ya kiwi na sio hongo.

Hivyo kuendelea kuwepo kazini haitakuwa ajabu.
 
😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😁😁😁😁😁😟😂😂😂😂
 
kwani Tanzania Rushwa ni kosa?
 
Wakuu,

Katika nchi ambayo ina uwajibikaji na Polisi inafanya kazi kweli sio kuweka “Patrol za Mtandaoni” kusaka wanaoikosoa Serikali na kuhamasisha uwajibikaji, askari huyu alitakiwa kuwa ameshachukuliwa hatua na hata umma kufahamishwa hatua zilizochukuliwa.

Tunao TAKUKURU, wanatumika kama political weapon badala ya kufanya kazi tarajiwa.

Nchi imevurugwa hii!

Hebu angalia video yenyewe

Kama Boss wake anamiliki 1 Bilioni , ghorofa lenye apartments za kupangisha, G-Wagon, etc kwanini asibaki kazini akichapa kazi??? Hiyo si hela ya kubrashia viatu...!

Wakimuachisha kazi watakuwa wanamuonea
 
Wakuu,

Katika nchi ambayo ina uwajibikaji na Polisi inafanya kazi kweli sio kuweka “Patrol za Mtandaoni” kusaka wanaoikosoa Serikali na kuhamasisha uwajibikaji, askari huyu alitakiwa kuwa ameshachukuliwa hatua na hata umma kufahamishwa hatua zilizochukuliwa.

Tunao TAKUKURU, wanatumika kama political weapon badala ya kufanya kazi tarajiwa.

Nchi imevurugwa hii!

Hebu angalia video yenyewe

Jengo la TAKUKURU Arusha lilichomwa moto
 
Wakuu,

Katika nchi ambayo ina uwajibikaji na Polisi inafanya kazi kweli sio kuweka “Patrol za Mtandaoni” kusaka wanaoikosoa Serikali na kuhamasisha uwajibikaji, askari huyu alitakiwa kuwa ameshachukuliwa hatua na hata umma kufahamishwa hatua zilizochukuliwa.

Tunao TAKUKURU, wanatumika kama political weapon badala ya kufanya kazi tarajiwa.

Nchi imevurugwa hii!

Hebu angalia video yenyewe
Alitumia ombeni mtapewa!
 
Hata nikiwa Mimi siachi rushwa, lazima nichukue
Jamaa wamemnyima 10k na bado wamem'expose💔
 
Angekuwa mtanzania angepata misukosuko kwa kumuanika hadharani muomba rushwa.
 
Mimi mwenywe siwezi nkawa mzalendo kwenye nchi ambayo viongozi wake ni Anasazi kwa pesa za wananchi, tena mimi ntafanya mara 10 yake yani nibmwendo wa kuomba rushwa tu
 
Wenyewe serikalini waliita ni pesa ya kiwi na sio hongo.

Hivyo kuendelea kuwepo kazini haitakuwa ajabu.
Ile kauli ilihalalisha vitendo vya rushwa moja kwa moja.

Too bad askari hawaambiwi wakat gani w akufanya hayo

Kwa raia wa nje inachafua image ya nchi
 
Back
Top Bottom