Atawajishwa na nani wakati wote ndiyo kazi wanayofanya.Kuamkia leo nilibanwa na mkojo ni kojolea ukuta wa Takukuru na kuondoka .
Kumbe wewe ni mhuni!!?Kuamkia leo nilibanwa na mkojo ni kojolea ukuta wa Takukuru na kuondoka .
😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😁😁😁😁😁😟😂😂😂😂Atawajishwa na nani wakati wote ndiyo kazi wanayofanya.
Kosa lake ni ufala wa kuamini kuwa watasha ni mafala kama waswahili.
Usikute kaajiriwa kwa kinoti cha ndugu yake.
Siku hizi hakuna askari bali matapeli wanaotumia ngao kupiga pesa.
Wakuu,
Katika nchi ambayo ina uwajibikaji na Polisi inafanya kazi kweli sio kuweka “Patrol za Mtandaoni” kusaka wanaoikosoa Serikali na kuhamasisha uwajibikaji, askari huyu alitakiwa kuwa ameshachukuliwa hatua na hata umma kufahamishwa hatua zilizochukuliwa.
Tunao TAKUKURU, wanatumika kama political weapon badala ya kufanya kazi tarajiwa.
Nchi imevurugwa hii!
Hebu angalia video yenyewe

Alitumia ombeni mtapewa!Wakuu,

Mbongo wangemshikilia na kumbambikia makosa kibao.Sema ngozi nyeupe hawanaga kona kona.....
Ile kauli ilihalalisha vitendo vya rushwa moja kwa moja.Wenyewe serikalini waliita ni pesa ya kiwi na sio hongo.
Hivyo kuendelea kuwepo kazini haitakuwa ajabu.