Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

Serikali imuhamishie kwenye Kazi za unoko mfano Takukuru au usalama huku kuna mfaa mzalendo huyu wa mwaka watu kama hawa ni adimu Sana kuwapata siku hizi.
Hao wenye mapungufu ya akili?

Hakuna askari hapo mkuu. Msingi mkuu wa majeshi ni kufuata taratibu za kutoa malalamiko au taarifa Si ajabu taarifa zake hizo hajawahi kuzitoa kwa viongozi wake ngazi ya Wilaya na hata mkoa matokeo yake analipuka kwa waziri. Kijeshi hilo ni kosa. Hakufuata propper channel of communication.

Mjinga tu huyo.
 
Hivi polisi ni polisi au polisi ni majambazi?
 
Mlolongo wa matukio mengi kuhusu Jeshi la Polisi mwaka huu 2022 linazidi kujifedhehesha na kuzidi kupoteza hadhi yake. Yetu macho tutasikia mengi.
 

Tunakujua wewe ni CCM, mipango yenu ya kutaka kumtawala kila mtu kwenye jeshi la polisi haiwezekani.

Kwanza kabisa ulivyo fanya uzalimu kwa viongoz wa dini ulifikiri Ni jambo jema Pia tunakujua vizur wewe meahack kwani kwa mara kazaa tumeona mambo yako ya kuwatishia viongozi mbalimbal ikiwa pamoja na viongozi wa dini na watu wote tunaokuja hapo kituo cha polisi kijenge na sekei ulivyo fanya mambo ya hovyo na kuwatisha wafanya biashara hapa mjni



Achilia mbali wewe umekuwa na tuhuma za mauaji ya Chalii yetu ambae alikuwa fundi anae kaa baraa pia Habari zako tunazo hapa mjini acha ngonjera siye machali wa R hatutaki ngonjera hizo ngonjera pelekea MaPolisi ccm wenzako

Sasa ushatoka tukutane mahakamani na Kesi ya mauaji uliyoifanya kwa ndugu yetu na ndugu zako mapolisi CCM

Unambwelambwela unajifanya mwema umetesa sana viongozi wa dini sisi tunaenda mahakamani tukamalizane maana sisi machali ulituona wajinga kutumalizia mdugu yetu tuna kwenda kukumalza mahakaman ushaihidi tunao
 
Mifumo ya ajira ukitaka Sana haki utaua njaa familia. Aje mtaani akapige mizinga ataikumbuka ile milioni 10
 
Nadhani nae ana tatizo sehemu ukiingia YouTube ukaandika askari Meshack aliyefukuzwa kazi kuna jambo la kujifunza nimeshindwa attach hapa
 
Pole yake sana...

Wananchi wakilalamika kuhusu manyanyaso ya askari mnawachukulia poa, kumbe wenyewe kwa wenyewe mnafanyiana hayo...
 
Huyo jamaa mzembe wenzake huwa wanachoma halafu wanaomba ulinzi hapo hapo
 
Ukweli Africa ni somo gumu! Hata hapa unaona watu wanamshangaa huyu askari! Pole kamanda, Africa ukweli ni sumu ndio maana lazima uwe adui!

Hata ofisini, ukiwa mtu wa kunyooka utagombana hadi na owners achilia mbali wafanyakazi.
 
Back
Top Bottom