Yes ,huyu askari anapiga sana kazi lakini shida yake kubwa ni anaropoka sana yaani Hana break Kuna walaka wake nilisoma unaosema IGP anataka kumuua ,Sasa unajifikilia ivi kweli wewe kama askari unaeda kuongea hadharani kwamba mkuu wa jeshi alieaminiwa na rais anataka kumuua kisa rushwa kweli ,nikijuacho mimi askari yeyote yule anafanya kazi kwa maelekezo ya viongozi wae Wala hajipangi kazi na hata akikama kitu jeshi ndio linabidi li ongee kwa niaba yake sio wewe unaropoka ropoka tu then unamlalamikia vyeo ,vyeo ivi kweli vyeo nivyakulalamikia kiasi kwamba ukosane na muajiri wako ,na ndio maana nikasema askari huyo anawalakini kidogo ,afu IGP ndio ana mandate ya kufukuza Askari wa cheo Kama chake Sasa IGP sio mjinga kiasi icho mpka aamue kutoa maelekezo ya kufukuzwa kwa askari huyo bila kosa lolote na wakati anajua Malalamiko ya uyo askari yalishamfikia mpka mkuu wa inchi pamoja na waziri mkuu