Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

Siro unamjua au unaskia
 
Duuuuu! Hili jamaa bumunda kweli yani hata ssi ambao tunafuatili mapigano kwenye series za ulaya ambao wame advance uwezi utoa hiyo kitu ya bunduki ikatoa sauti
 
Jeshi ni nidhamu, sio ukweli, ukweli unaangaliwa baadaye, Kwanza nidhamu.
Ukiambiwa geuka nyuma unageuka, Ukiambiwa mbele tembea ni mbele tembea.
Hapa Kama kuna ukweli atakayesikilizwa ni Mkubwa na sio mdogo. Anaweza kuwa na hoja za msingi lakini kwa vile anayelalamikiwa ni mkubwa basi imekula kwake, anayesikilizwa ni mkubwa.
 
Hii nchi mnalaumu mafisadi na wezi bure. Komamanga kama hizi hapa kwenye uzi ziko zinashabikia ujinga, yani usipoiba bongo unaonekana fala
 
Hivi tupo tanzania au tupo Sudan?? Kweli tumemkumbuka magu
 
Duuuuu! Hili jamaa bumunda kweli yani hata ssi ambao tunafuatili mapigano kwenye series za ulaya ambao wame advance uwezi utoa hiyo kitu ya bunduki ikatoa sauti
Chalii una baraa wewe na vile tena unaishi baraa yaani ndio baraa kabisa yaani. Umeandika kisha umekuja kuji quote mwenyewe kwa kujitukana [emoji1787][emoji1787]machalii acheni bangi
 
Aiseehh....yani inabidi aamishwe kabisa jeshi la polisi ndio aweze endeleq na maisha ya kawaida, la sivyo watammaliza tu, maana wamedhamiria kufanya hivyo.
Kama anaipenda roho yake asisubiri serikali bali ajiongeze atorokee hata congo kwa lori.
 
Polisi sio wazuri...

Wanamlazimisha akubali pesa wakati mwenzao anataka sifa!

Aah..
 
jamaa analeta ishu za uzalendo baada ya ngoma kujamba ha ha ha ha ha wazalendo waliisha kufa enzi za mwalim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…