Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

CCM wewe tunakujua sana, enzi zile mlijiona nchi yenu peke yenu na kujifanya mnawatesa wapinzani, haya zambi zako zinakutafuna sasa.
Mbona kama unafanya personal attack. Yeye katoa maelezo yenye facts kuonyesha jinsi alivyoonewa. Sasa wewe unampa hutuma zisizo na facts, kwamba kaua, katishia viongozi wa dini! Toa maelezo yanayothibitisha kwamba kaua, toa maelezo alitishaje viongozi wa dini katika mazingira yapi sababu haiingii akilini viongizi wa dini wenye access ha kuonana na viongozi wakubwa serikalini wakubali tu kutishiwa na OCS!
 
Yes. Huyu askari anaropoka sana kama Tundu Lissu.
 
Kwa hiyo ukitaka kuuawa na IGP ukae kimya kisa ameteuliwa na Rais mbona hao hao Polisi ripoti zao haziaminiwi mpaka imeundwa Tume kuwachunguza maana yake hata IGP aaminiwi ila ni ngumu yeye kuelewa...vyeo sio dhamana ya kufanya chochote na watu wengine wakae kimya..
 
Dalili zinaonyesha wakisha wamaliza waadilifu wote watabakia wao lakini hawatabakia salama
 
Yani unajiunga na genge la wahalifu , then unataka kuchomoka kirahisi, haiwezekani , apambane na hali yake kama alisababisha ndugu wa kamanda Zirro amwage unga yeye anategemea apone? mipoliciiciiemu ndivyo ilivyo ua nyonga bambika sasa wanakuilana wenyewe.
 
Fumua, piga msasa na panga upya hili jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…