Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

[emoji3482][emoji3482][emoji3482][emoji117][emoji117][emoji117][emoji250]‍[emoji834][emoji250]‍[emoji834][emoji250]‍[emoji834]
Wakikusikia...
Watapungua akili zaidi
 
Haya yote wameyataka chalamila na wenzake....unasaka vp dada poa ndani ya bar tena ukiwa na bunduki.....
Maaskar wengi wenye silaha ni majambazi/waporaji waliohalalishwa especially wale wanaozunguka na defender/land cruiser/noah.
Nilishakutana nao usiku wa manane wakanitolea bunduki/AK 47 kisa nimevuka taa nyekundu....kama sio akili yangu kufanya kazi kwa haraka uwenda ata leo nisingekuwa naandika haya.
 
Kuna vitu kadhaa haviko sawa kabisa kuhusiana na jeshi la polisi, askari wenyewe inasemekana walikuwa wamelewa ,haki itendeke hapa bila ushahidi wowote kupotea

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mwisho wa kesi itakuwa marehemu alitaka kumnyang'anya askari silaha
Ndio hivyo askari watashinda.
 
Back
Top Bottom