Haya yote wameyataka chalamila na wenzake....unasaka vp dada poa ndani ya bar tena ukiwa na bunduki.....
Maaskar wengi wenye silaha ni majambazi/waporaji waliohalalishwa especially wale wanaozunguka na defender/land cruiser/noah.
Nilishakutana nao usiku wa manane wakanitolea bunduki/AK 47 kisa nimevuka taa nyekundu....kama sio akili yangu kufanya kazi kwa haraka uwenda ata leo nisingekuwa naandika haya.