Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

Askari unakiogopaje kifo wakati kipo tuu??
Acha ufala
 
Exactly
 
My UNCLE is right, ndio yuko sahihi na sitoacha muunga MKONO na ni moja ya mambo ambayo binafsi yangu nitakuja yafanya nitakapomaliza majukumu yote Muhimu hapa DUNIANI.

Tunapita hapa duniani si mahali petu pa kudumu, kifo ni cha lazima na wala si ombi.

Tunapaswa wafundisha watoto wetu ujasiri wa kuweza kukipokea KIFO bila kuathiri afya zao na maisha yao

Bado watu Hawataki kukizoea KIFO wanakiona kama jehanamu ambayo tunatakiwa ikimbia. Si kweli.

Kujua kwamba Nitakufa na kuukubali ukweli ni Moja ya IQ kubwa sana walio nayo wanadamu wachache mno.

Wala hana shida kama mfikiriavyo,wala hana jini linalomuandama na naamini SABASITA yupo sana ni moja ya watu ninaohisi wataishi si chini ya miaka 100 au 90+ naamini hivyo.

Kuwauwa watu enzi zake alikua haui watu wa kawaida alikua ana deal na MAJAMBAZI walioshindikana.

SABASITA alikua akipewa kazi ya kutafuta MAJAMBAZI wasiokamatika na alikua akiruhusiwa ku UA kwani waliamini hatowakamata.

Ni MASTER MIND huyu ankoli namkubali miaka 1000
 
Mara ya mwisho naonana na 76 ilikuwa 2003 nikiwa Kahumba Morogoro
alikua na team yake pale wanajifanya wanajiuza kumbe ndio MAPOLISI wabobezi.

Ukitaka udakwe na SABA SITA penda K malaya WOTE morogoro enzi zake katika WAUZA K 10 watano kati yao ni MAPOLISI.. sasa Ji mix unapenda K sana na ni JAMBAZI mbobevu uone...unachukua K unaenda uliwa njiani hata hamfiki GUEST
 
Wanadamu kuna wengine wana "kichaa" wanatembea nacho.. huyu anahitaji kumwona daktari wa akili na Saikolojia. Unaweza ukasema anasaidia kutosumbua mtu kuhusu michango wakati wa kifo chake, lakini hiyo haina maana yoyote ile. Kwanza ndiyo asili ya Binadamu kwamba amepangwa kuzikwa na wengine, lakini pia kama atachelewa kufa, na kufa akiwa anakaribia miaka mia huko, hii miundombinu yote aliyoandaa itakuwa bure, maana itakuwa imechakaa na italazimu watu kununua jeneza jingine, atakuwa ni kama ametupa tu hela.
 
Naked comment
 
Huyu tunamjua katoa sana roho za majambazi...istoshe task yake ya mwisho ilikua kibiti napo kaua sana...damu za watu,kisukari kikali kinamla
Sasa kama ameua majambazi si sawa hizo damu zinamtafuna vipi jambazi dawa yake ni kuuwawa ukimuacha anakuua yeye
 
Sasa kama ameua majambazi si sawa hizo damu zinamtafuna vipi jambazi dawa yake ni kuuwawa ukimuacha anakuua yeye
Tunahukumiwa na dhamira. Kujitetea ruksa, ila kuua kwa makusudi damu lazima itanena vibaya juu yako.
 
Tunahukumiwa na dhamira. Kujitetea ruksa, ila kuua kwa makusudi damu lazima itanena vibaya juu yako.
Hakuna kitu kama hicho wahalifu wanaohatarisha uhai wa watu kuuwawa ni sawa na kama alikua anaua wahalifu wa namna hiyo hakuna kitu kibaya kitakacho muandama
 
Hakuna kitu kama hicho wahalifu wanaohatarisha uhai wa watu kuuwawa ni sawa na kama alikua anaua wahalifu wa namna hiyo hakuna kitu kibaya kitakacho muandama
Kwenye sheria na kiutaratibu hakuna kitu kama hicho.
Mhalifu hata muuaji, hata kama ameumia wakati wa kukamatwa, atatibiwa apone ili apelekwe mahakamani.

No body is livensed to kill.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…