Askari wa Israel wavua magwanda,wakimbia wakiacha wenzao waungue kwenye kifaru

Vita bado inaendelea, sisi waislamu tegemezi letu ni Mwenyezi Mungu, na kwa uwezo wake Allah tutashinda
Uliwahi kuona wapi allah anamshindisha mtu si yeye anapiganiwa na ukifa eti ndio utaenda ahera kupewa mabikra 72 na Haineken inayotiririka kwenye mito.
 
Upotolo wa kiwango cha lami kukaririshwa kulisifia taifa lengine eti taifa teule
 
Kusema mnataka kuwamaiza Hamas ni kujilisha upepo. Kuuwa viongozi sio issue kwani hizo ni nafasi tu, kiongozi akifa mtu mwingine anachukua nafasi. Hamas wanazaliwa kila siku acheni kunidanganya kwamba mtawamaliza

Mfano halisi, Israel ilikazana ktk kuwauwa wanasayansi wa nuclear wa Iran il ishindwe kuendelea na program ya Nuclear. Matokeo yake iran imezalisha wanasayansi wengi zaidi
 
Siyo kila kafiri ni mbaya tufundishwa kuishi nao vizuri kama wanakutendea wema.
Mbona PLO mwalimu aliishi nao vizuri ila wakamtenda kama ambavyo mmeagizwa kafri yeyote atendwe?
 
Mkuu, hiyo ni mbinu ya kivita. Waliingiza vifaru na magari ya vita katikati ya Gaza makusudi. Sasa Hamas wamejitokeza kichwakichwa, na wamegundulika wanakatokea. Sasa Mziki utauona karibuni.
Ukiangalia kwa makini utaona hivyo vifaru ni vile vya kizamani na huendeshwa na Single operator,likely ndo huyo aliyeruka akakimbia.
 
Kusea mnataka kuwamaiza Hamas ni kujilisha upepo. Kuuwa viongozi sio issue kwani hizo ni nafasi tu, kiongozi akifa mtu mwingine anachukua nafasi. Hamas wanazaliwa kila siku acheni kunidanganya kwamba mtawamaliza
wameuawa wengi sana hata sasa, hasa hao viongozi, sema huwezi kumaliza ideology, ila utapunguza na kwa kitambo watakaa kwa amani. kwa sasa wana mpango wa kutawala gaza, pale hapatakaliwa na mtu wanataka iwe buffer zone kuanzia katikati mwa gaza hadi kaskazini, na lengo naona wanataka wapalestina wajiassimilate misri kwenye jangwa la sinai. its too bad ila wangekubali wangeishi tu pamoja wote kwenye nchi moja.
 
Mbona PLO mwalimu aliishi nao vizuri ila wakamtenda kama ambavyo mmeagizwa kafri yeyote atendwe?
Tumeagizwa na nani? Nimekuambia Uislam umesema unaisho na mtu yeyote ambaye siyo Muilslam na kumfanyia wema, atakupokupengine mna haki ya kulipiza kisasi.
 
Misri kakataa huo mpango kawambia Israel hao wakimbizi watafutie sehemu huko Israel lakini siyo kija Misri kama wakimbizi.
 
Misri kakataa huo mpango kawambia Israel hao wakimbizi watafutie sehemu huko Israel lakini siyo kija Misri kama wakimbizi.
Misri wamewakataa sababu ya tabia zao za ugaidi refer to Muslim brotherhood ndio maana mpakani mwa misri na Palestine Kuna liukuta refu 20ft high pia kwenda chini fut 60 kuepuka ma tunnel ya wajaa laana
 
Misri wamewakataa sababu ya tabia zao za ugaidi refer to Muslim brotherhood ndio maana mpakani mwa misri na Palestine Kuna liukuta refu 20ft high pia kwenda chini fut 60 kuepuka ma tunnel ya wajaa laana
Tafuta muda usome historia ya mashariki ya kati acha kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege unaleta JF unajua Misri kuna wakimbizi wangapi wa Palestina? Sababu ya kukataa kuruhusu Wapelstina kuingia Misri ni hii na Jordan pia.

Their refusal is rooted in fear that Israel wants to force a permanent expulsion of Palestinians into their countries and nullify Palestinian demands for statehood. El-Sissi also said a mass exodus would risk bringing militants into Egypt’s Sinai Peninsula, from where they might launch attacks on Israel, endangering the two countries’ 40-year-old peace treaty.

Here is a look at what is motivating Egypt’s and Jordan’s stances
 
Mbona PLO mwalimu aliishi nao vizuri ila wakamtenda kama ambavyo mmeagizwa kafri yeyote atendwe?
Plo kilikuwa Chama cha kijamaa, Palestina kuna makundi mengi mno unachanganya tu madafu Hapa.


Wapiganaji wa PLO na red Book yao ya Mao miaka ya 1960s.

So PLO na Nyerere walikua pamoja sababu wote ni wa jamaa.

Ubalozi wa Palestina unaouona hapa Tanzania ni Serikali ya West Bank Palestina Chini ya Mahmoud Abbas ni utawala mwengine.

Gaza wapo Chini ya Hamas utawala mwengine ambao hauna Mahusiano na Wapalestina ambao wapo hapa.
 
Hawajawah kujaribu kumuu mfalme wa Jordan au kumpindua serikali ya Lebanon au ndio love is blind?
 
Unajua kama id Amin alikataa msaada wa urusi wakat wa vita ya kagera alikua na mashaka maana warusi ni wajamaa na mwalimu ni mjamaa aliogopa kuzungukwa, PLO walipigana upande wa Amin Dada kwa kua waliamin Nduli angeshindwa mambo Yao mengi yangefeli maana Dada Id akitoa sanctuary kwa magadi wa PLO do your homework chief
 
Hawajawah kujaribu kumuu mfalme wa Jordan au kumpindua serikali ya Lebanon au ndio love is blind?
Ndiyo maana nakuambia kasome hostoria ya Mashariki ya Kati upya Jordan ina wakimbizi zaidi ya milioni 2 wa Kipalestina hizo na porojo sijui umezitoa wapi huwenda una umri mdogo ungetumia muda wako kujifunza toka lini Palestina akatala kupindua hizo serikali.
 
Sijui kama mbinu hiyo ni mbinu ya kivita kweli.Ingekuwa vifaru havina marokelti ndani yake ingeingia akili lakini kifaru kimejazwa maroketi kwa ajili ya kupiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…