inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwani taratibu za mahakamani ndiyo kilele cha tafakuri!?..sisi tunakuonesha uumbaji wenye mfumo kama dalili ya kuwepo muumbaji,wewe hutaki,sasa tunakutaka uthibitishe kuwa huo uumbaji wa kimfumo haujaumbwa na mtu bali umetokea tu....unaleta story za mahakama ya hakimu mkazi kisutu!!Ameleta stori za mungu, nikasema hayupo,
Tupo mahakamani unaniambia mimi ni mwizi, mimi nakataa sio mwizi ithibitishie mahakama mimi ni mwizi.
Halafu unaanza kusema wewe embu thibitisha ni mwizi!
Hiyo ni kazi yako!
Thibitisha mungu yupo kama alivyosema mungu wangu.
Acha maneno ukitaka msaidie.
Kama dalili ya kuwepo muumbaji?kama dalili ya kuwepo muumbaji,wewe hutaki,sas
Oh my friend! Hakuna cha kupozi hapo, ni hadi magaidi wabaki 0(sifuri kabisa) Israel akiangalia mbele,nyuma,kulia,kushoto asipoona tena gaidi ndo atapozi kidogo akisubiri hao wengine watakao jaribu kufanya fyoko fyoko e.g. Yemen, Lebanon(Hizbullah)n.k.Malengo bado, Netanyau amesema anataka kuwafuta kabisa na kurudisha mateka.
Awali ilikuwa kulipiza kisasi, alipo onyeshwa yale mauaji ya 7/10 kwafi** wanajeshi wa IDF, alisema anawafuta sasa bado kabisa.
So far Israel imeua magaidi ya HAMAS 15,000 [elfu kumi na tano tu], hapo bado kabisa, nina uhakika wakifika walau watu elfu 30 ndio Israel atapozi kidogo.
Ataisubiri Iran, kumbuka Iran ndio inawafundisha ugaidi hawa Wasilamu magaidi wa Hamas na pia inawapa silaha na chakula, Mdogo mdogo ,Oh my friend! Hakuna cha kupozi hapo, ni hadi magaidi wabaki 0(sifuri kabisa) Israel akiangalia mbele,nyuma,kulia,kushoto asipoona tena gaidi ndo atapozi kidogo akisubiri hao wengine watakao jaribu kufanya fyoko fyoko e.g. Yemen, Lebanon(Hizbullah)n.k.
Wewe ndiyo hufikiri vyema,au hujui lugha,au una shida juu ya suala zima la mantiki,upepo huuoni ila unaona dalili/athari za upepo kwa kuwepo kwa kuuhisi,peperusha nguo na majani ya miti...au mwenzetu ushawahi uona upepo!?..ushawahi uona umeme au huona dalili/athari za umeme kwa taa kuwaka,tv kufanya kazi!?Kama dalili ya kuwepo muumbaji?
Yaani bado unaongelea masuala ya dalili na huku unadai uthibitisho
Unafikiri vyema wewe?
Jamani kuweni na huruma na wapalestina, wapelestina, hamasi wanakufa sana, hali ni mbaya sana , maana yake huko Gaza kila nyumba kuna msiba, na kuna familia zote zimepotea halafu nyie mnaleta ujinga ujinga, kwa akili yako kabisa unaona hamasa ndo wakushinda wanajeshi wa Israel wenye silaha na zana bora za kivita!Hakuna dalili ya kutengenezwa.Ile ya kufisalimisha nimeona mashirika ya habari ya nje wakiitilia shaka na kuzusha maswali mengi.
Kumbuka Israel imepeleka askari zaidi ya 300,000 kuwatafuta mateka 240.Sas kundi hilo linajiingiza kwenye mitaa wasiyoifahama na Hamas wamejificha na silaha zao.Huoni kuwa Israel haina huo utaalamu wa kukwepa kupigwa ndani ya hiyo mitaa au kujitoma kwenye mtaa usiokuwa na pa kutokea hatimae kuzingirwa na kupigwa kirahisi sana.
Hata Hamas wakiwateka hawana muda wa kubaki na mateka na gharama za kuwalisha na kukimbia nao huku na huko.Ni kuwaua tu na kuwafukia
Wakati huo huo hawana muda wa kuuliza AI iwachoree picha kama hiyo.
Mwisho wa yote tutasema Hamas kwa Israel imekuwa mwiba wa mtende.wa
Kawaokoe wagalatia wenzako waliopotea,Hakuna mwenye matatizo ya akili atakueleza habari njema za kuokoa nafsi yako.
Huyu aliyeshindwa kujiokoa ?Njoo kwa Yesu upone na jehanamu
Ndo hapo sasa Iran atajua kwamba wembe ulomnyoa HAMAS bado una makali.Ataisubiri Iran, kumbuka Iran ndio inawafundisha ugaidi hawa Wasilamu magaidi wa Hamas na pia inawapa silaha na chakula, Mdogo mdogo ,
Wapasuliwe vidali wazayuniGharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.
Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.
Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
View attachment 2839765
suala zima la upepo,Wewe ndiyo hufikiri vyema,au hujui lugha,au una shida juu ya suala zima la mantiki,upepo huuoni ila unaona dalili/athari za upepo kwa kuwepo kwa kuuhisi,peperusha nguo na majani ya miti...au mwenzetu ushawahi uona upepo!?..ushawahi uona umeme au huona dalili/athari za umeme kwa taa kuwaka,tv kufanya kazi!?
Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.
Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.
Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
View attachment 2839765
Wanakufa sana ni zaidi ya 100 maana jumamos pekee waliangamizwa 80Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.
Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.
Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
View attachment 2839765
Etieee. Lakini sasa mbona hatusikii wakilialia?Wanakufa sana ni zaidi ya 100 maana jumamos pekee waliangamizwa 80
Kweli ghaza yote inakaliwa na idf ndio maana wale mateka wao tayari washawaregeshathe fact ni kwamba, Hamas hawana hata nafasi kusimama huru vile, GAZA yote imetwaliwa, hamas hawaishi sehemu ya wazi, wanaishi kwenye mahandaki. Israel hajaona midomo/milango yote ya hamas, hivyo ile ambayo haijagundulika ndio wanachomoza ghafla na kupiga risasi askari ambaye alikuwa hajawaona na kukimbilia kwenye shimo.
Hii inaonesha hufikiri na huwezi kumithilisha mambo,kama binaadam ilu azaliwe unahitaji mke na mume waliopevuka,mayai yanayotakiwa kurutubishwa,mbegu za uzazi za kiume,uke wenye njia ya kupitisha mbegu kupeleka kwenye,ili hayo yatokee paws na dhakari iliyosimama,mwenye dhakari akiona uke dhakari husimama....hapo bado huuoni dalili kuwa kuna designer!?..huyo designer ni nani!?..au hayo yametokea by accident!?suala zima la upepo,
Upepo unapimwa, upepo unayo temperature, upepo unayo density upepo una volume.
Nikiwasha feni nikaweka unyoya mbels yake utapeperushwa hio ni outcome.
upepo ukiwa mkali unaona majani yanapeperuka juu sometime una observe vitu vikizunguka.
Embu thibitisha kwa namna yoyote ile unYoweza kuhusu mungu?
Hapo hujaona upepo bali athari/dalili za upeposuala zima la upepo,
Upepo unapimwa, upepo unayo temperature, upepo unayo density upepo una volume.
Nikiwasha feni nikaweka unyoya mbels yake utapeperushwa hio ni outcome.
upepo ukiwa mkali unaona majani yanapeperuka juu sometime una observe vitu vikizunguka.
Embu thibitisha kwa namna yoyote ile unYoweza kuhusu mungu?
Upepo ukiwa mkali miti inapepea, ninaona kwa macho yangu,Hapo hujaona upepo bali athari/dalili za upepo
Ngoja sasa,huoni dalili/athari ya designer na muumbaji hapo!?..au yametokea tu yenyewe hayo!?..kama yametokea tu yenyewe,thibitisha!?