Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Ameleta stori za mungu, nikasema hayupo,
Tupo mahakamani unaniambia mimi ni mwizi, mimi nakataa sio mwizi ithibitishie mahakama mimi ni mwizi.
Halafu unaanza kusema wewe embu thibitisha ni mwizi!

Hiyo ni kazi yako!
Thibitisha mungu yupo kama alivyosema mungu wangu.

Acha maneno ukitaka msaidie.
Kwani taratibu za mahakamani ndiyo kilele cha tafakuri!?..sisi tunakuonesha uumbaji wenye mfumo kama dalili ya kuwepo muumbaji,wewe hutaki,sasa tunakutaka uthibitishe kuwa huo uumbaji wa kimfumo haujaumbwa na mtu bali umetokea tu....unaleta story za mahakama ya hakimu mkazi kisutu!!
 
Malengo bado, Netanyau amesema anataka kuwafuta kabisa na kurudisha mateka.

Awali ilikuwa kulipiza kisasi, alipo onyeshwa yale mauaji ya 7/10 kwafi** wanajeshi wa IDF, alisema anawafuta sasa bado kabisa.
So far Israel imeua magaidi ya HAMAS 15,000 [elfu kumi na tano tu], hapo bado kabisa, nina uhakika wakifika walau watu elfu 30 ndio Israel atapozi kidogo.
Oh my friend! Hakuna cha kupozi hapo, ni hadi magaidi wabaki 0(sifuri kabisa) Israel akiangalia mbele,nyuma,kulia,kushoto asipoona tena gaidi ndo atapozi kidogo akisubiri hao wengine watakao jaribu kufanya fyoko fyoko e.g. Yemen, Lebanon(Hizbullah)n.k.
 
Ataisubiri Iran, kumbuka Iran ndio inawafundisha ugaidi hawa Wasilamu magaidi wa Hamas na pia inawapa silaha na chakula, Mdogo mdogo ,
 
Kama dalili ya kuwepo muumbaji?
Yaani bado unaongelea masuala ya dalili na huku unadai uthibitisho

Unafikiri vyema wewe?
Wewe ndiyo hufikiri vyema,au hujui lugha,au una shida juu ya suala zima la mantiki,upepo huuoni ila unaona dalili/athari za upepo kwa kuwepo kwa kuuhisi,peperusha nguo na majani ya miti...au mwenzetu ushawahi uona upepo!?..ushawahi uona umeme au huona dalili/athari za umeme kwa taa kuwaka,tv kufanya kazi!?
 
Hakuna dalili ya kutengenezwa.Ile ya kufisalimisha nimeona mashirika ya habari ya nje wakiitilia shaka na kuzusha maswali mengi.
Kumbuka Israel imepeleka askari zaidi ya 300,000 kuwatafuta mateka 240.Sas kundi hilo linajiingiza kwenye mitaa wasiyoifahama na Hamas wamejificha na silaha zao.Huoni kuwa Israel haina huo utaalamu wa kukwepa kupigwa ndani ya hiyo mitaa au kujitoma kwenye mtaa usiokuwa na pa kutokea hatimae kuzingirwa na kupigwa kirahisi sana.
Hata Hamas wakiwateka hawana muda wa kubaki na mateka na gharama za kuwalisha na kukimbia nao huku na huko.Ni kuwaua tu na kuwafukia
Wakati huo huo hawana muda wa kuuliza AI iwachoree picha kama hiyo.
Mwisho wa yote tutasema Hamas kwa Israel imekuwa mwiba wa mtende.wa
Jamani kuweni na huruma na wapalestina, wapelestina, hamasi wanakufa sana, hali ni mbaya sana , maana yake huko Gaza kila nyumba kuna msiba, na kuna familia zote zimepotea halafu nyie mnaleta ujinga ujinga, kwa akili yako kabisa unaona hamasa ndo wakushinda wanajeshi wa Israel wenye silaha na zana bora za kivita!
 
Ataisubiri Iran, kumbuka Iran ndio inawafundisha ugaidi hawa Wasilamu magaidi wa Hamas na pia inawapa silaha na chakula, Mdogo mdogo ,
Ndo hapo sasa Iran atajua kwamba wembe ulomnyoa HAMAS bado una makali.
 
Wewe ndiyo hufikiri vyema,au hujui lugha,au una shida juu ya suala zima la mantiki,upepo huuoni ila unaona dalili/athari za upepo kwa kuwepo kwa kuuhisi,peperusha nguo na majani ya miti...au mwenzetu ushawahi uona upepo!?..ushawahi uona umeme au huona dalili/athari za umeme kwa taa kuwaka,tv kufanya kazi!?
suala zima la upepo,
Upepo unapimwa, upepo unayo temperature, upepo unayo density upepo una volume.

Nikiwasha feni nikaweka unyoya mbels yake utapeperushwa hio ni outcome.

upepo ukiwa mkali unaona majani yanapeperuka juu sometime una observe vitu vikizunguka.

Embu thibitisha kwa namna yoyote ile unYoweza kuhusu mungu?
 
the fact ni kwamba, Hamas hawana hata nafasi kusimama huru vile, GAZA yote imetwaliwa, hamas hawaishi sehemu ya wazi, wanaishi kwenye mahandaki. Israel hajaona midomo/milango yote ya hamas, hivyo ile ambayo haijagundulika ndio wanachomoza ghafla na kupiga risasi askari ambaye alikuwa hajawaona na kukimbilia kwenye shimo.
Kweli ghaza yote inakaliwa na idf ndio maana wale mateka wao tayari washawaregesha
Hongereni idf pamoja na wewe kwajitihada zenu
 
suala zima la upepo,
Upepo unapimwa, upepo unayo temperature, upepo unayo density upepo una volume.

Nikiwasha feni nikaweka unyoya mbels yake utapeperushwa hio ni outcome.

upepo ukiwa mkali unaona majani yanapeperuka juu sometime una observe vitu vikizunguka.

Embu thibitisha kwa namna yoyote ile unYoweza kuhusu mungu?
Hii inaonesha hufikiri na huwezi kumithilisha mambo,kama binaadam ilu azaliwe unahitaji mke na mume waliopevuka,mayai yanayotakiwa kurutubishwa,mbegu za uzazi za kiume,uke wenye njia ya kupitisha mbegu kupeleka kwenye,ili hayo yatokee paws na dhakari iliyosimama,mwenye dhakari akiona uke dhakari husimama....hapo bado huuoni dalili kuwa kuna designer!?..huyo designer ni nani!?..au hayo yametokea by accident!?
suala zima la upepo,
Upepo unapimwa, upepo unayo temperature, upepo unayo density upepo una volume.

Nikiwasha feni nikaweka unyoya mbels yake utapeperushwa hio ni outcome.

upepo ukiwa mkali unaona majani yanapeperuka juu sometime una observe vitu vikizunguka.

Embu thibitisha kwa namna yoyote ile unYoweza kuhusu mungu?
Hapo hujaona upepo bali athari/dalili za upepo
Ili azaliwe binaadam,patahitajika paws na mtu mume na mke wapevu,mke awe na mayai yatayohitaji kurutubishwa na mbegu ya mume,mbegu itapitia ukeni,lakini haiwezi toka mbegu mpaka dhakari isimame,dhakari itasimama baada ya mume kuona uke,ataingiza ukeni na kutoa mbegu,mbegu zitakimbilia kwenye yai na kutunga mimba,huoni dalili/athari ya designer na muumbaji hapo!?..au yametokea tu yenyewe hayo!?..kama yametokea tu yenyewe,thibitisha!?
 
Hapo hujaona upepo bali athari/dalili za upepo
Upepo ukiwa mkali miti inapepea, ninaona kwa macho yangu,
upepo ukiwa mkali bati linango’ka ninaona kwa macho yangu
Nikipuliza karatasi linapepea ninaona kwa macho yangu.
 
huoni dalili/athari ya designer na muumbaji hapo!?..au yametokea tu yenyewe hayo!?..kama yametokea tu yenyewe,thibitisha!?
Ngoja sasa,
ulichofanya wewe ni sababu sifahamu chanzo cha ulimwengu hivyo unajaribu kupachika kitu “A gap of knowledge” ili ufix.

Kutokufahamu kwako hakujustify mungu yupo ni sababu tu hatujui.

Ni hivi umeshindwa kutengeneza link ya kuonyesha mungu ana exist kwa namna yoyote ukaamua kuchukua mfano wa watu wanaofanya ngono pasipo onyesha mungu huyo anaingiaje hapo.
 
Back
Top Bottom