inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwani taratibu za mahakamani ndiyo kilele cha tafakuri!?..sisi tunakuonesha uumbaji wenye mfumo kama dalili ya kuwepo muumbaji,wewe hutaki,sasa tunakutaka uthibitishe kuwa huo uumbaji wa kimfumo haujaumbwa na mtu bali umetokea tu....unaleta story za mahakama ya hakimu mkazi kisutu!!Ameleta stori za mungu, nikasema hayupo,
Tupo mahakamani unaniambia mimi ni mwizi, mimi nakataa sio mwizi ithibitishie mahakama mimi ni mwizi.
Halafu unaanza kusema wewe embu thibitisha ni mwizi!
Hiyo ni kazi yako!
Thibitisha mungu yupo kama alivyosema mungu wangu.
Acha maneno ukitaka msaidie.