Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Upepo ukiwa mkali miti inapepea, ninaona kwa macho yangu,
upepo ukiwa mkali bati linango’ka ninaona kwa macho yangu
Nikipuliza karatasi linapepea ninaona kwa macho yangu.
Hapo hujaona upepo,umeona athari/ za upepo
Upepo ukiwa mkali miti inapepea, ninaona kwa macho yangu,
upepo ukiwa mkali bati linango’ka ninaona kwa macho yangu
Nikipuliza karatasi linapepea ninaona kwa macho yangu.
Huoni upepo bali dalili/athari za upepo,kama uliuona upepo,una rangi gani,umbo!?..umeme ulishawahi uona,ukoje!?
 
Yaani toka kwenye dalili,upepo mpaka hapa,hujaelewa chochote!!?.umeelewa watu kufanya ngono tu..unanirudisha nyuma tena!!..endelea na shughuli zako mkuu
 
Hapo hujaona upepo,umeona athari/ za upepo

Huoni upepo bali dalili/athari za upepo,kama uliuona upepo,una rangi gani,umbo!?..umeme ulishawahi uona,ukoje!?
Mpaka sasa hujathibitisha mungu yupo.

Umeme unapimwa, umeme una kanuni zake

Embu wewe thibitisha mungu yupo kwa namna yoyote ile
 
Yaani toka kwenye dalili,upepo mpaka hapa,hujaelewa chochote!!?.umeelewa watu kufanya ngono tu..unanirudisha nyuma tena!!..endelea na shughuli zako mkuu
Mifano mfu.
Tengeneza link ya watu kufanya ngono na uwepo wa mungu umeshindwa?
 
Umekataa ushauri wangu wa kupumzika basi muombe sana Allah vita isitishwe ili kuwapunguzia machungu na mateso watu wasio na hatia.
Acha propaganda kama unazopost hazisaidii chochote. Jikite kuwaombea wananchi wanaotaabika na siyo hao waliyowasababishia mateso.
Ni hayo tu.
 
🛑 In a joint operation between Al-Quds Brigades & Al-Qassam Brigades, they clashed with a zionist force stationed inside a building in the Al-Faluja area, inflicting casualties, including both killed & wounded.
 
Attachments

  • IMG_7876.jpeg
    45.5 KB · Views: 3
Wale waliokua wakienda kukabidhi mateka kwa uhuru na amani kubwa ni kina nani, hadi mateka wanakabidhiwa wakaungane na familia zao wanatamani warudi walikotekwa maana walikofichwa usalama ulikua ni mkubwa kuliko wanakoenda maana bila kutekwa pengine wangeshakufa kwa vita inayoendekea..
 
Nashukuru kwa ushauri wako japokuwa nauona ni ushauri wa kinafiki.
Kama una huruma jaribu kuwahurumia wapalestina na iambie Marekani na Israel zisitishe vita.Mimi niko kwenye raha kubwa sana kulinganisha na mateso ya watu wa Gaza.
Siku nikihisi uchovu nitapumzika bila kukutafuta wewe.
 
Hiyo picha ingekua ni Hamas ungesema ni yakutengeneza? Au umeamua tu kutingisha kalio hapa? Hao wayahudi si ndio walimuua Mungu wenu kwa mujibu wenu?
Maiti ya myahudi akifa tu lazima afunukwe Hizo picha za kutengenezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…