Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Upepo ukiwa mkali miti inapepea, ninaona kwa macho yangu,
upepo ukiwa mkali bati linango’ka ninaona kwa macho yangu
Nikipuliza karatasi linapepea ninaona kwa macho yangu.
Hapo hujaona upepo,umeona athari/ za upepo
Upepo ukiwa mkali miti inapepea, ninaona kwa macho yangu,
upepo ukiwa mkali bati linango’ka ninaona kwa macho yangu
Nikipuliza karatasi linapepea ninaona kwa macho yangu.
Huoni upepo bali dalili/athari za upepo,kama uliuona upepo,una rangi gani,umbo!?..umeme ulishawahi uona,ukoje!?
 
Ngoja sasa,
ulichofanya wewe ni sababu sifahamu chanzo cha ulimwengu hivyo unajaribu kupachika kitu “A gap of knowledge” ili ufix.

Kutokufahamu kwako hakujustify mungu yupo ni sababu tu hatujui.

Ni hivi umeshindwa kutengeneza link ya kuonyesha mungu ana exist kwa namna yoyote ukaamua kuchukua mfano wa watu wanaofanya ngono pasipo onyesha mungu huyo anaingiaje hapo.
Yaani toka kwenye dalili,upepo mpaka hapa,hujaelewa chochote!!?.umeelewa watu kufanya ngono tu..unanirudisha nyuma tena!!..endelea na shughuli zako mkuu
 
Hapo hujaona upepo,umeona athari/ za upepo

Huoni upepo bali dalili/athari za upepo,kama uliuona upepo,una rangi gani,umbo!?..umeme ulishawahi uona,ukoje!?
Mpaka sasa hujathibitisha mungu yupo.

Umeme unapimwa, umeme una kanuni zake

Embu wewe thibitisha mungu yupo kwa namna yoyote ile
 
Yaani toka kwenye dalili,upepo mpaka hapa,hujaelewa chochote!!?.umeelewa watu kufanya ngono tu..unanirudisha nyuma tena!!..endelea na shughuli zako mkuu
Mifano mfu.
Tengeneza link ya watu kufanya ngono na uwepo wa mungu umeshindwa?
 
mimi nakula na kushiba,nalala na kuamka,Namshukuru Allah kwa wingi.Mimi nawafikiria zaidi kazi wanayoifanya Hamas.
Muda mwingi nautumia kukumbuka uwezo wa Mwenyezi Mungu kuwapa nguvu na subira watu wanaokuwa katika mazingira magumu wakipigania haki zao.
Umekataa ushauri wangu wa kupumzika basi muombe sana Allah vita isitishwe ili kuwapunguzia machungu na mateso watu wasio na hatia.
Acha propaganda kama unazopost hazisaidii chochote. Jikite kuwaombea wananchi wanaotaabika na siyo hao waliyowasababishia mateso.
Ni hayo tu.
 
the fact ni kwamba, Hamas hawana hata nafasi kusimama huru vile, GAZA yote imetwaliwa, hamas hawaishi sehemu ya wazi, wanaishi kwenye mahandaki. Israel hajaona midomo/milango yote ya hamas, hivyo ile ambayo haijagundulika ndio wanachomoza ghafla na kupiga risasi askari ambaye alikuwa hajawaona na kukimbilia kwenye shimo.
🛑 In a joint operation between Al-Quds Brigades & Al-Qassam Brigades, they clashed with a zionist force stationed inside a building in the Al-Faluja area, inflicting casualties, including both killed & wounded.
 
Attachments

  • IMG_7876.jpeg
    IMG_7876.jpeg
    45.5 KB · Views: 3
jamaa anataka kumanisha hamas ndio hao waliosimama na bunduki. hakuna hata hamas mmoja anayetokea sehemu ya wazi, kila sehemu kuna wanajeshi wa israel. hamas wamejificha kwenye mahandaki,wanatoka tu ghafla na kupora chakula cha msaada na kuingia nacho kwenye mashimo.
Wale waliokua wakienda kukabidhi mateka kwa uhuru na amani kubwa ni kina nani, hadi mateka wanakabidhiwa wakaungane na familia zao wanatamani warudi walikotekwa maana walikofichwa usalama ulikua ni mkubwa kuliko wanakoenda maana bila kutekwa pengine wangeshakufa kwa vita inayoendekea..
 
Umekataa ushauri wangu wa kupumzika basi muombe sana Allah vita isitishwe ili kuwapunguzia machungu na mateso watu wasio na hatia.
Acha propaganda kama unazopost hazisaidii chochote. Jikite kuwaombea wananchi wanaotaabika na siyo hao waliyowasababishia mateso.
Ni hayo tu.
Nashukuru kwa ushauri wako japokuwa nauona ni ushauri wa kinafiki.
Kama una huruma jaribu kuwahurumia wapalestina na iambie Marekani na Israel zisitishe vita.Mimi niko kwenye raha kubwa sana kulinganisha na mateso ya watu wa Gaza.
Siku nikihisi uchovu nitapumzika bila kukutafuta wewe.
 
Hiyo picha ingekua ni Hamas ungesema ni yakutengeneza? Au umeamua tu kutingisha kalio hapa? Hao wayahudi si ndio walimuua Mungu wenu kwa mujibu wenu?
Maiti ya myahudi akifa tu lazima afunukwe Hizo picha za kutengenezwa
 
Back
Top Bottom