inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hapo hujaona upepo,umeona athari/ za upepoUpepo ukiwa mkali miti inapepea, ninaona kwa macho yangu,
upepo ukiwa mkali bati linango’ka ninaona kwa macho yangu
Nikipuliza karatasi linapepea ninaona kwa macho yangu.
Huoni upepo bali dalili/athari za upepo,kama uliuona upepo,una rangi gani,umbo!?..umeme ulishawahi uona,ukoje!?Upepo ukiwa mkali miti inapepea, ninaona kwa macho yangu,
upepo ukiwa mkali bati linango’ka ninaona kwa macho yangu
Nikipuliza karatasi linapepea ninaona kwa macho yangu.