ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kama Hamas kundi lenye wapiganaji wasio zidi 30,000 linalo tumia silaha za mwaka 47 lipo linawajambisha ndo wataweza kupigana mataifa yote ya kiarabu?Hata waarabu wote waungane hawawezi kuiangusha Israel pale mashariki ya kati,wawaulize mataifa matano yalivyochakazwa vibaya 1967.
Kwahiyo tz kama aliishinda Uganda mwaka 1979 inamaanisha kuwa sasa hivi ainaweza pigana nae akaishinda kama alivyo fanya 1979?