Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Hata waarabu wote waungane hawawezi kuiangusha Israel pale mashariki ya kati,wawaulize mataifa matano yalivyochakazwa vibaya 1967.
Kama Hamas kundi lenye wapiganaji wasio zidi 30,000 linalo tumia silaha za mwaka 47 lipo linawajambisha ndo wataweza kupigana mataifa yote ya kiarabu?
Kwahiyo tz kama aliishinda Uganda mwaka 1979 inamaanisha kuwa sasa hivi ainaweza pigana nae akaishinda kama alivyo fanya 1979?
 
Hii dhambi mbona mnafanya sana kwenye hizo seminar zenu!
@icebreaker
....
 
Kama Hamas kundi lenye wapiganaji wasio zidi 30,000 linalo tumia silaha za mwaka 47 lipo linawajambisha ndo wataweza kupigana mataifa yote ya kiarabu?
Kwahiyo tz kama aliishinda Uganda mwaka 1979 inamaanisha kuwa sasa hivi ainaweza pigana nae akaishinda kama alivyo fanya 1979?
Israel anataka kupunguza maafa kwa raia kwa kuenda pole pole,fikiria watu wanataarifiwa kuwa tutapiga sehemu furani ondokeni.Ingekuwa anataka kupiga haswaa ni siku mbili tu gaza ingekuwa kiwanja.Kingine Hamas wana maroketi mengi mpaka ya zaidi km 150 halafu useme ni dhaifu.
 
Muumini wa masanamu nipo na mkeo hapa ananitafsiria hicho kingereza.
Dhambi ya sodom mnafanya sana kwenye madrasa!
.....
 
Taifa teule

Israel anataka kupunguza maafa kwa raia kwa kuenda pole pole,fikiria watu wanataarifiwa kuwa tutapiga sehemu furani ondokeni.Ingekuwa anataka kupiga haswaa ni siku mbili tu gaza ingekuwa kiwanja.Kingine Hamas wana maroketi mengi mpaka ya zaidi km 150 halafu useme ni dhaifu.
Eh kumbe siku hizi kupigana vita ni kushambulia chochote kilichoko mbele yako?basi hilo ni jeshi la ajabu.
 
Sio kweli huwezi kuwauwa was Israel Kama kuku uliozea kuchinja usipotoshe ummaa ngoja dawa iwaingie
 
Malengo bado, Netanyau amesema anataka kuwafuta kabisa na kurudisha mateka.

Awali ilikuwa kulipiza kisasi, alipo onyeshwa yale mauaji ya 7/10 kwafi** wanajeshi wa IDF, alisema anawafuta sasa bado kabisa.
So far Israel imeua magaidi ya HAMAS 15,000 [elfu kumi na tano tu], hapo bado kabisa, nina uhakika wakifika walau watu elfu 30 ndio Israel atapozi kidogo.
Ikiwa vifo vya jumla ni kltakribani watu 18000 wamekufa na zaidi ya nusu ni watoto na wanawake, inakuaje kusema IDF imeua zaidi ya wanamgambo 15000 wa HAMAS!? IDF wanasema kwenye kila watu watatu wanaouawa mmoja ndio hamas. Do the math. Otherwise tusifanye exaggeration saaana.
 
Wanamgambo wa Hamas inajumuisha hao uliosema, Hao watoto hawana wazazi, hao wanawake hawana mabwana zao.
Acha prpaganda za kislamu za kigaidi,
HAMAS ina wanachama watoto na wana silaha, na wengine hata uniform hawana, chini ya shule tena za UN na misikiti na makanisa wanaficha silaha na kufanyia maficho misikitini na makanisani, IDF inawafuata popote walipo.

Hiyo mbin u ya kutumia watoto na wanawake kama kinga haisaidii, kichapo kitaendela mpaka "panya"wote watoke kwenye mashimo, Iran na Urusi hawakujua kama kichapo kitakuwa namna hii.
Putin kanyosha mkono na silaha za HAMAS zimekwama pale IRAN, walikuwa wanaziingiza kwa tunnels za Baharini lakini sasa haiwezekani tena.
 
Hoja haipigwi rungu. Tunajadili hoja sio affiliations na dini, rangi au kabila au kigezo chochote kile. Weka ushahidi wako. We argue with facts that's all.
 
Attachments

  • BC0DDDBC-92F6-48BD-90F5-7A506BA521A9.jpeg
    BC0DDDBC-92F6-48BD-90F5-7A506BA521A9.jpeg
    127.7 KB · Views: 1
Idadi ya 100 ni toka vita imeanza wewe mbulula!
Waliokufa jana ni 4 ndio walifikisha hiyo idadi!
Ungejua idadi ya magaidi wa hamas waliouwa hadi sasa ungeinamisha kichwa!
Usikurupuke kama uharo!
 
Back
Top Bottom