ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Tofauti mauaji ya bahati mbaya ya raia na mauaji ya makusudi ya raia ili kufidia aibu ya kushindwa kijeshi.Niletee vita uliyowahi kusikia raia hawajafa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti mauaji ya bahati mbaya ya raia na mauaji ya makusudi ya raia ili kufidia aibu ya kushindwa kijeshi.Niletee vita uliyowahi kusikia raia hawajafa.
Kwa uliyo yaandika itoshe kuitwa mpumbavu.Wanamgambo wa Hamas inajumuisha hao uliosema, Hao watoto hawana wazazi, hao wanawake hawana mabwana zao.
Acha prpaganda za kislamu za kigaidi,
HAMAS ina wanachama watoto na wana silaha, na wengine hata uniform hawana, chini ya shule tena za UN na misikiti na makanisa wanaficha silaha na kufanyia maficho misikitini na makanisani, IDF inawafuata popote walipo.
Hiyo mbin u ya kutumia watoto na wanawake kama kinga haisaidii, kichapo kitaendela mpaka "panya"wote watoke kwenye mashimo, Iran na Urusi hawakujua kama kichapo kitakuwa namna hii.
Putin kanyosha mkono na silaha za HAMAS zimekwama pale IRAN, walikuwa wanaziingiza kwa tunnels za Baharini lakini sasa haiwezekani tena.
Propaganda
Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.
Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.
Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
View attachment 2839765
Huyo hapo mwana jeshi wa Israel aliyeko vitani anakili wanajeshi wengi waisrael wanauwa sasa sijui tusilize walio vitani au tukusikilize ww aliyeko kwa shemeji yake anasubiri ugali wa shikamoo.Idadi ya 100 ni toka vita imeanza wewe mbulula!
Waliokufa jana ni 4 ndio walifikisha hiyo idadi!
Ungejua idadi ya magaidi wa hamas waliouwa hadi sasa ungeinamisha kichwa!
Usikurupuke kama uharo!
Huku mamia ya IDF wanakufa, hamas achananaokaziaijaisha mkuu gaza inasafishwa utaipenda
Mb zangu hazipotei bure, vipigo wanavyopokea hao mazayuni sio vya kitoto
Gaza raia wanakufa kwasababu magaidi yanajificha katikati ya raia ili wawe ngao,unategemea nini kitatokea?,kingine Israel wana huruma isiyo mithilika maana kabla ya kupiga jengo huwa wanawataarifu watu kuondoka,hii ni huruma ya ajabu mnoTofauti mauaji ya bahati mbaya ya raia na mauaji ya makusudi ya raia ili kufidia aibu ya kushindwa kijeshi.
Nawaonea huruma wasio na hatia wanao kufa kwa ukatili wa Hamas,kuwafanya ngao,lakini bado magaidi ya Hamas yanapukutika kama nzige.Rndelea kusema hivyo hivyo, na jahannam wataipata vizuri
Sawa. Shule za kata zimetoa watu wenye kujielewa ila wewe umebaki mbumbumbu.Kwa uliyo yaandika itoshe kuitwa mpumbavu.
Basi ni kikundi cha kigaidiHivi unajua sifa za kuitwa jeshi au unaropoka tu?
Nawaonea huruma wasio na hatia wanao kufa kwa ukatili wa Hamas,kuwafanya ngao,lakini bado magaidi ya Hamas yanapukutika kama nzige.
Ya kwamba ww una unajua masuala ya vita kuliko rais wa Ufaransa aliye iambia Israel kuwa iache kufanya mauaji ya kiholela dhidi ya watoto, au ww una akili kuliko waziri wa mambo ya nje wa ujerumani ambaye jana alionya Israel kuwa vifo vya raia wa gaza haviendani na uhalisia wa vita .Gaza raia wanakufa kwasababu magaidi yanajificha katikati ya raia ili wawe ngao,unategemea nini kitatokea?,kingine Israel wana huruma isiyo mithilika maana kabla ya kupiga jengo huwa wanawataarifu watu kuondoka,hii ni huruma ya ajabu mno
Sasa mtu aliye elimika ataaminije kuwa myahudi ana thamani kuliko yeye, mtu aliye elimika ataendaje kuweka bendera ya Israel kwenye gari na kanisani akidai inamlinda?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yaani nyinyi warokole ni watu wa hovyo kabisa.Sawa. Shule za kata zimetoa watu wenye kujielewa ila wewe umebaki mbumbumbu.
Nikujibu kwa niaba ya walokole.Sasa mtu aliye elimika ataaminije kuwa myahudi ana thamani kuliko yeye, mtu aliye elimika ataendaje kuweka bendera ya Israel kwenye gari na kanisani akidai inamlinda?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yaani nyinyi warokole ni watu wa hovyo kabisa.
Hamas ni kundi la wanamgambo hawana sifa yeyote ya kuitwa jeshi kuanzia kisilaha, kiuchumi, kiintelegensia mpaka sitaili yao ya upiganaji, Israel yenyewe ina litambua kama wana mgambo alafu ww kutoka buza unasema nu jeshi.Basi ni kikundi cha kigaidi
Haaa ndio umejidhirisha kuwa hujaelimika Wayahudi na Wakristo wapi na wapi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2].Nikujibu kwa niaba ya walokole.
Mtu mwenye akili yake anawekaje bendera ya palestina kwenye gari , mtu mwenye akili ya lasaba anawekaje Mipicha ya Sijui kitu gani huko Mecca saudi arabia ? Kwanini haweki picha ya majengo ya posta DAr?
Myahudi kwa wakristo amezungumzwa kqwenye biblia na kwamba atamkataa Yesu na mwiaho atakuja kuokoka.
Mbona unazungumzia mlokole wakat habari ya uyahudi ni wakristo wote?
Unatafua kichaka cha kujificha kwakuwa unajua walokole huwa hawajibizani na wapuuzi kwakuwa biblia inasema "usikae barazani kwa wenye mizaa?"
Msamehe huyu finyango hajui tofauti ya Jeshi na kikundi.Hamas ni kundi la wanamgambo hawana sifa yeyote ya kuitwa jeshi kuanzia kisilaha, kiuchumi, kiintelegensia mpaka sitaili yao ya upiganaji, Israel yenyewe ina litambua kama wana mgambo alafu ww kutoka buza unasema nu jeshi.
Kwa hivyo wanashambulia ,kisha wanajificha kwa wanawake na watoto?au style yao ya kupigana ipoje mkuu?Hamas ni kundi la wanamgambo hawana sifa yeyote ya kuitwa jeshi kuanzia kisilaha, kiuchumi, kiintelegensia mpaka sitaili yao ya upiganaji, Israel yenyewe ina litambua kama wana mgambo alafu ww kutoka buza unasema nu jeshi.