Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Wanamgambo wa Hamas inajumuisha hao uliosema, Hao watoto hawana wazazi, hao wanawake hawana mabwana zao.
Acha prpaganda za kislamu za kigaidi,
HAMAS ina wanachama watoto na wana silaha, na wengine hata uniform hawana, chini ya shule tena za UN na misikiti na makanisa wanaficha silaha na kufanyia maficho misikitini na makanisani, IDF inawafuata popote walipo.

Hiyo mbin u ya kutumia watoto na wanawake kama kinga haisaidii, kichapo kitaendela mpaka "panya"wote watoke kwenye mashimo, Iran na Urusi hawakujua kama kichapo kitakuwa namna hii.
Putin kanyosha mkono na silaha za HAMAS zimekwama pale IRAN, walikuwa wanaziingiza kwa tunnels za Baharini lakini sasa haiwezekani tena.
Kwa uliyo yaandika itoshe kuitwa mpumbavu.
 
Idadi ya 100 ni toka vita imeanza wewe mbulula!
Waliokufa jana ni 4 ndio walifikisha hiyo idadi!
Ungejua idadi ya magaidi wa hamas waliouwa hadi sasa ungeinamisha kichwa!
Usikurupuke kama uharo!
Huyo hapo mwana jeshi wa Israel aliyeko vitani anakili wanajeshi wengi waisrael wanauwa sasa sijui tusilize walio vitani au tukusikilize ww aliyeko kwa shemeji yake anasubiri ugali wa shikamoo.
 
Tofauti mauaji ya bahati mbaya ya raia na mauaji ya makusudi ya raia ili kufidia aibu ya kushindwa kijeshi.
Gaza raia wanakufa kwasababu magaidi yanajificha katikati ya raia ili wawe ngao,unategemea nini kitatokea?,kingine Israel wana huruma isiyo mithilika maana kabla ya kupiga jengo huwa wanawataarifu watu kuondoka,hii ni huruma ya ajabu mno
 
Ya kwamba ww una unajua masuala ya vita kuliko rais wa Ufaransa aliye iambia Israel kuwa iache kufanya mauaji ya kiholela dhidi ya watoto, au ww una akili kuliko waziri wa mambo ya nje wa ujerumani ambaye jana alionya Israel kuwa vifo vya raia wa gaza haviendani na uhalisia wa vita .

Israel haipigani vita bali inafanya mauaji ya kiholela baada ya kushindwa kupigana vita.

Acha propaganda kwani Israel ndo nchi ya kwanza kupigana na hao unao waita magaidi?

Jeshi la Iraq limepambana na ISS kundi lenye nguvu zaidi ya mara 4 ya hamas mbona hatukuona likifanya mauaji ya kiholela kama anayo fanya Israel.

Mtu mwenye huruma ya ajabu anaendaje kumfanyia ukoloni binadamu mwenzako katika karne hii ya 21?
 
Sawa. Shule za kata zimetoa watu wenye kujielewa ila wewe umebaki mbumbumbu.
Sasa mtu aliye elimika ataaminije kuwa myahudi ana thamani kuliko yeye, mtu aliye elimika ataendaje kuweka bendera ya Israel kwenye gari na kanisani akidai inamlinda?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yaani nyinyi warokole ni watu wa hovyo kabisa.
 
Nikujibu kwa niaba ya walokole.
Mtu mwenye akili yake anawekaje bendera ya palestina kwenye gari , mtu mwenye akili ya lasaba anawekaje Mipicha ya Sijui kitu gani huko Mecca saudi arabia ? Kwanini haweki picha ya majengo ya posta DAr?
Myahudi kwa wakristo amezungumzwa kqwenye biblia na kwamba atamkataa Yesu na mwiaho atakuja kuokoka.
Mbona unazungumzia mlokole wakat habari ya uyahudi ni wakristo wote?
Unatafua kichaka cha kujificha kwakuwa unajua walokole huwa hawajibizani na wapuuzi kwakuwa biblia inasema "usikae barazani kwa wenye mizaa?"
 
Basi ni kikundi cha kigaidi
Hamas ni kundi la wanamgambo hawana sifa yeyote ya kuitwa jeshi kuanzia kisilaha, kiuchumi, kiintelegensia mpaka sitaili yao ya upiganaji, Israel yenyewe ina litambua kama wana mgambo alafu ww kutoka buza unasema nu jeshi.
 
Haaa ndio umejidhirisha kuwa hujaelimika Wayahudi na Wakristo wapi na wapi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2].
 
Hamas ni kundi la wanamgambo hawana sifa yeyote ya kuitwa jeshi kuanzia kisilaha, kiuchumi, kiintelegensia mpaka sitaili yao ya upiganaji, Israel yenyewe ina litambua kama wana mgambo alafu ww kutoka buza unasema nu jeshi.
Msamehe huyu finyango hajui tofauti ya Jeshi na kikundi.
HAMAS ingelikuwa ni Jeshi basi vita ingekuwa kati ya PALESTINE na ISRAELI.
Israel ingeshusha mabomu kila pahala hiyo vita isingechukua zaidi ya siku 3 ila hii ni kikundi cha Waislamu wanaotaka kwend akukutana na 72 virgins kabla ya muda, ndio maana Israel inawasaka viongozi wa hawa mahgaidi wa kiislamu na hawajapiga waziri mkuu wa Palestine wala mawaziri wa serikali ya Palestine na hawahangaii nao.
 
Hamas ni kundi la wanamgambo hawana sifa yeyote ya kuitwa jeshi kuanzia kisilaha, kiuchumi, kiintelegensia mpaka sitaili yao ya upiganaji, Israel yenyewe ina litambua kama wana mgambo alafu ww kutoka buza unasema nu jeshi.
Kwa hivyo wanashambulia ,kisha wanajificha kwa wanawake na watoto?au style yao ya kupigana ipoje mkuu?
 
Back
Top Bottom