Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Wewe Akili zero JWTZ ndio linaongoza kwa wasomi sasa hivi JWTZ hauingii na division 4, police division zero na darasa la saba zipo za kutosha na bado wanaendelea kuchukua vihiyo
Ilikuwa zamani hiyo mkuu. Polis siku hizi wengi ni degree holders. Lkn jeshini Kuna mijtu imejiunga juzi tu hapa eti kisa ina nguvu za kunyanyua vyuma
 
Na hasa kosa hapa ni la huyu askari wa JWTZ. Kwann aingilie majukumu ya polisi?????
ameingiliaje, fafanua, au ni ile kusimamishwa na traffick kama tulivyozoea namna wanavyoonea watu barabarani huko. kama Mungu amekujalia unamiliki gari, utakuwa unaelewa na kuwafahamu hawa viumbe. inawezekana askari wa jw alikasirika tu kutokana na traffick kumdharau wakati kicheo JW ni mkubwa kwake. tangu lini traffick police akamuonya JWTZ? tangu lini. si ndio kumkosea heshima hapo.kwanni asimwite nyau?
 
Wewe Akili zero JWTZ ndio linaongoza kwa wasomi sasa hivi JWTZ hauingii na division 4, police division zero na darasa la saba zipo za kutosha na bado wanaendelea kuchukua vihiyo
Naunga mkono Hoja,,

Lkn nimestaajabu mleta mada unamtetea polisi ,,,huyo hapo hakagui gari isipokuwa anacheki mazingira ili apewe ya kubrashia viatu...

Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumtetea polisi.
 
Back
Top Bottom