Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Polisi huwa wanatumia maswali babaifu ili kumbaini mhalifu.

Walimwambia dereva piga honi, washa taa, leta leseni yako, n.k. JWTZ akaanza kumuwakia polisi eti anawachelewesha bure. Ndiyo yule polisi akasema "nakuonya". JWTZ akamuita paka yule polisi

Huyo mjeshi anamakosa.
Na pale alihesabika kama Raia na sio mjeshi,
 
Inasemekana polisi ni wasomi kuliko JWTZ.

JWTZ wengi ni mbumbumbu
Wewe nani kakuambia.Unakumbuka waongoza ndege waligoma JWTZ wakaenda kamata usukani airport? Unakumbuka madaktari waligoma Muhimbili wakaenda kamata usukani? Unakumbuka meli ya Ukerewe ilipinduka JWTZ wakaenda igeuza? Vita vya Kagera Iddi Amini alivunja daraja likajengwa lingine kwa muda mfupi? Wewe ulikuwa hujazaliwa
Jeshini ni wasomi mno kuna degree za phD na maproffesor wapo wa kumwaga yupo mmoja anaitwa Brigedier general dr??? Namuhifadhi jina lake.
Hakuna fani uraiani jeshini haipo
Wewe unaonekana ndio mbumbumbu na hujapitia jeshi
 
Police wana lugha mbaya sana, waonevu sana na sio waelewa. wengi wanawaza rushwa tu muda wote na hata wakati mwingine kwa watu wanaofanya nao kazi huwa hawawaheshimu. kifupi polisi huwa sio wa kuwaamini, wote hata kama ni mtoto wako usimwamini,ni mtu anawea kukuchinjia baharini anytime. ndio maana wengi huwa hawaumii moyo kama polisi akitukanwa namna hii. wanaona poa tu. ni kutokana na matendo yao. ni tofauti kabisa na polisi wa mamtoni.
Mfano Mzuri ni Jana Saa Sita Usiku Pale Kwenye Mataa Sea view, Kabla Hujayafikia Yale ya Salender, Mi Nimeona taa Imeniruhusu na Kuna Jamaa Anae akawa Anakuja Wangu Wangu, Kidogo Ajali Itokee, Yule Traffic Alivyo Mpuuzi Akataka Kuniuzia Kesi Eti Nisimame, Sikusimama, In short Traffic Ni Kero Sana Barabarani
 
Paka?? A.k.a nyau how comes mtu uniite nyau mimi,,me ningekuwa jasusi kwa ajili yake kwa mda.
 
Jeshini kuitwa paka, popo, swine, mbwa, kima, maku, fisi, kupigwa kibao, mtama, teke la nguvu, kichurachura, kuoga kwa matope, kulia huku unacheka, kutokulala wiki, kufinywa ukitakiwa kucheka au hutakiwi kugusa, viboko bila kugusa, vitu vya kawaida sana..

Cha msingi hajampiga mbele za watu au akiwa kazini kwake, ila kuitwa paka, suala la kawaida sana, EQ ya askari inatakiwa iwe kali anapokutana na askari mwenzake, tena na kupiga saluti.

Tatizo ni nyie raia mnadeka sana sana, hata nyumba nyingi zinaharibika ndoa na watoto malezi yanakuwa mabovu sbb ya kudeka deka tu, mtu hata akikwambia paka au mbwa ww, hajakugusa, kwani ukiondoka au akiondoka zake shida ni nn? Raia mna tatizo sana, hata shida ndogoo mnakuza sanaa, umeme ukikatika dak 5, kilio jiji zima, ukiguswa kidogo tu na mwezako kelele mtaa wote, ukiona labda kiongozi kakosea kidogo tu, utasema au kusambaza dunia nzima as if huyo kiongozi sio mwanadamu, acheni kudeka deka, kazi wengi wavivu na wavivu wa kufikiri sana, acheni deko, nyoko sana.
 
Mamburula wote jeshini ndio wanaishia hivyo na wengine wameshastaafu,jeshi la sasa hivi ni la wasomi..sasa hivi huwezi kuingia JWTZ na division 4 kule wanaingia watu wenye taaluma zao.
Wanaingia wasomi coz ajira ngumu
 
Ni wivu tu.kumbuka serikali aizalishi ajira.
 
Wabongo wengi umasikini wetu unatufanya tuwe na roho mbaya...sasa akifukuzwa kazi wewe utanufaika na nini? Familia yake utaitunza? Kuna adhabu nyingi tu sio lazma afukuzwe kazi
 
Lugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!

Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
We jamaa fyuzi imekata kichwani
 
Lugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!

Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Mjeshi ni staff surgent... I can see star
 
Back
Top Bottom