- Thread starter
- #41
Huyu JWTZ alitaka polisi asifanye kazi yake kisa tu yeye ni abiria ktk Hilo gariameingiliaje, fafanua, au ni ile kusimamishwa na traffick kama tulivyozoea namna wanavyoonea watu barabarani huko. kama Mungu amekujalia unamiliki gari, utakuwa unaelewa na kuwafahamu hawa viumbe. inawezekana askari wa jw alikasirika tu kutokana na traffick kumdharau wakati kicheo JW ni mkubwa kwake. tangu lini traffick police akamuonya JWTZ? tangu lini. si ndio kumkosea heshima hapo.kwanni asimwite nyau?