Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Naunga mkono Hoja,,

Lkn nimestaajabu mleta mada unamtetea polisi ,,,huyo hapo hakagui gari isipokuwa anacheki mazingira ili apewe ya kubrashia viatu...


Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumtetea polisi.
Kwa watu kama wewe na wale wanaoiponda polisi, hebu fikiria serkali itangaze kuwa kwa muda wa wiki moja polisi wa aiana ypoyote hawatakuwepo. Vituo vyote vya polisi vimefungwa. Raia watakaa bila huduma ya ya polisi wiki nzima. Fikiria wewe na familia yako, ndugu zako, jirani zako, na kwa ujumla wananchi wote watakuwa katika hali gani. Ni rahisi kuwatukana polisi hata pamoja na mapungufu yao wakikosa kuwepo wote tutajuta. Na kama unamshabikia mwanajeshi au wanajeshi hebu jiweke chini ya utawala wa jeshi angalao kwa wiki. Mimi nimeishi kwenye nchi zizokuwa zinatawaliwa na jeshi na ninajuwa naqongelea nini! Usiombe uwe chini ya jeshi, utaona polisi chekechea!
 
Siyo kila mwanajeshi ana taaluma Wengi
 
Sijaiponda polisi Ila 79%ya polisi hamna utu,yaan Nyie licha ya kufundishwa maana ya polisi jamii lkn mmetugeuka pakubwa,,hata km tunawategemea lkn hatuwaamini kwa

Rushwa,
Magendo.
Kukosa utu,
Uonevu,
Kujiona ndio wenye Nchi,
Kukosa huruma.
Mnapenda shortcut yaan mpate hela ya chap bila jasho,
Ubambikaji,,

Mimi ukiona nimempeleka mtu kituoni ujue kabisa huyo mtu ameshindikana kwa wazazi wake
 
Je paka ukimuita paka nikosa ?
 
Unajua sabab ya huo mvutano.Nafkir ungeandika "uchunguz ufanyike kujua chanzo cha mzozo" ingefana sana
 
Trafiki wanauzi sana, wako barabarani si kwa ajili ya usalama, bali kwa ajili ya kukusanya rushwa
 
Nimeiona hii video askari amemvumilia sana mm basi zima ningeenda nalo police then from ther ndo ningeona huyu mwamba kalalia wapi
Icho kituo simu moja tuu ingepigwa kambini lingekuja kosi kumfata baka baka mwenzao
 
Lugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!

Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Ndio maana wengi huwa wanapata ajali kwasababu ya kutosikiliza maonyo ya Askari wa barabarani,Unyenyekevu ktk maisha ni kitu muhimu sana,hupungukiwi chochote.
 
Icho kituo simu moja tuu ingepigwa kambini lingekuja kosi kumfata baka baka mwenzao
Hao walikuwa JWTZ wa zamani waliokuwa wanaingia jeshini kwasabb ya maguvu yao yaliyotokana na uvutaji bangi.

Hawa wa miaka hii wameenda shule na wana madigrii yao. Hawawezi kwenda kumpiga raia/polisi kibwege
 
Haujaonaga viongozi wanavyozngua road wewe... Mara mia jwtz wakaushiwe tu pengine kuna majukumu ya kuokoa raia wanaenda kutekeleza...

Au viongozi wapo juu ya sheria!?

Trafic anamuogopa meya wa jiji hadi anajaza jam road vurugu kibao sometime hadi accident kibao we hautoi ushauri wowote ila unasahau kuwa wanavimba kisa uwepo wa jwtz... Nenda somalia huko uone kama kuna kiongozi anaweka jam road..

Nenda kenya kajifunze jeshi lao wanaishi vip... Wakiingia hata super market tu raia woote wanatoka nnje wakimaliza ndio mnaingia....

Huku tunachanganyika nao ndio maana tunasimplify, ila majamaa wanadeserve kuishi free sana wakati huu wa amani....
 
Hawakulazimishwa kwahiyo waishi walichokichagua.

Tuache kuogopana, haki itendeke, haki huinua taifa. Heshima ya kuogopana sio ni unafiki tu.
 
Afutwe kunguru mweupe,mporaji wa barabarani🤔,kwani piga uwa garagaza ugomvi unaweza kuwa umesababishwa na kero za kunguru mweupe,kama ilivyo kuwa kama ada yao,njiani🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…