BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
°staff sajenti mtu mdogo Sana at least angekuwa COMMISSIONED OFFICERKoplo wa jeshi la rushwa anampa onyo staff sagent wa jeshi. Huyo paka ndio achukuliwe hatua za kinidhanu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
°staff sajenti mtu mdogo Sana at least angekuwa COMMISSIONED OFFICERKoplo wa jeshi la rushwa anampa onyo staff sagent wa jeshi. Huyo paka ndio achukuliwe hatua za kinidhanu.
°acha uongo division iv ndio wengi kwenye majeshi yote police, prison,jwtz, Uhamiaji nkMamburula wote jeshini ndio wanaishia hivyo na wengine wameshastaafu,jeshi la sasa hivi ni la wasomi..sasa hivi huwezi kuingia JWTZ na division 4 kule wanaingia watu wenye taaluma zao.
°huu ni uongo, tafuta matangazo ya kazi za police kama utakuta wanaajiri darasa la 7 au wenye division zero form ivWewe Akili zero JWTZ ndio linaongoza kwa wasomi sasa hivi JWTZ hauingii na division 4, police division zero na darasa la saba zipo za kutosha na bado wanaendelea kuchukua vihiyo
Commissioned officer Wana strict code of conduct. Wakipanda public transport hawavai uniform. Ndio maana huwezi kuona uniformed officer kwenye daladala au mwendokasi au kumkuta anakula kwa mama ntilie, au akiwa maeneo ya ma dada utamu.°staff sajenti mtu mdogo Sana at least angekuwa COMMISSIONED OFFICER
°sasa huyo satff sajenti ana influence gani?Commissioned officer Wana strict code of conduct. Wakipanda public transport hawavai uniform. Ndio maana huwezi kuona uniformed officer kwenye daladala au mwendokasi au kumkuta anakula kwa mama ntilie, au akiwa maeneo ya ma dada utamu.
Ana cheo Cha juu kuliko huyo paka japo wote Ni rank and file.°sasa huyo satff sajenti ana influence gani?
°tumia lugha za staha na na ww ni division 5Ana cheo Cha juu kuliko huyo paka japo wote Ni rank and file.
Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.
View attachment 2482744
Kuna mazngr yake yakutumia hiyo lughLugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!
Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Hivi kati ya JWTZ na Polisi kina nani wanafanya kazi kubwa hapa nchini?
°yeah sio jambo jema kufukuzwa kazi.Mkuu mbon una roho mbaya namn hyo , kufutw kaz kwa MTU sio jambo la kushabikia kbs kaz ni maish anao wategemez na kutokana na ktu alichofany hakin uzto huo wakumpelekea kufutw kaz labda kam alishatend makosa mengn ndan ya kaz
Apew kalipio tuu na ajielez bas
Hii clip ni ndefu mkuu wamekata kipande tu huyo traffic ndiyo alianza kuonesha dharau Kwa kuchelewesha gari bila sababu za msingi abiria walipo taka ufafanuzi akiwemo mjeda ambaye alikuwa anaomba wamalizane na dereva ili wawahi ndiyo traffic akawa mkali na kumpiga mkwala mjeda kuwa asimfundishe kazi na ikawa mwanzo wa kutoleana lugha za kibabe ila traffic ndiyo mkorofiLugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!
Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Punguza mihemuko ya kijinga Hii clip ni ndefu mkuu wamekata kipande tu huyo traffic ndiyo alianza kuonesha dharau Kwa kuchelewesha gari bila sababu za msingi abiria walipo taka ufafanuzi akiwemo mjeda ambaye alikuwa anaomba wamalizane na dereva ili wawahi ndiyo traffic akawa mkali na kumpiga mkwala mjeda kuwa asimfundishe kazi na ikawa mwanzo wa kutoleana lugha za kibabe ila traffic ndiyo mkorofiKuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.
View attachment 2482744
Kijamaa kilikuwa kijeuri nusu akipigwe makofihujui walianzia wapi hii video ni fupi! kwanza TRAFIKI anakosa adabu kibishana na mtu aliyemzidi cheo mbele ya RAIA
Mzee sio kwel traffic aliweka gari Kwa muda mrefu bila sababu za msingi kuandika faini alikuwa hatak ndiyo chanzo Cha mzozoPolisi alikuwa anamuonya dereva lkn yule JWTZ kwa kimbelembele chake tu akaingilia
Mamba ni hatari akiwa kwenye maji.Sasa umeridhika mwenzako kupoteza kazi.Huyo alilewa tu.Sasa subiri aanze kutumia taaluma ya kijeshi kutafuta Pesa atajuta kwanini hamkuvumilia Matusi
Tatz askari wa JWTZ wanajisahau kwamba wao pia n watumish wa ummaKuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.
View attachment 2482744
Mkuu Mambo mengine inabidi tupime wenyewe na sio kuwaamini sana wanasiasa . Jeshi hua halijadiliwi sana Bungeni ili wananchi wasijue madhaifu yao na kulidharau Jeshi. Lakini Kuna madhaifu kama zilivyo idara nyingine .Wanasiasa wanawasifia wanajeshi Kwa sababu Moja TU Jeshi ndilo serikali mbadala saa zote na wanaweza kupindua Nchi dakika Moja lakini kiuhalisia Wapo baadhi ya wanajeshi wa hovyo kama walivyo baadhi ya polisi wa hovyo, baadhi ya manesi wa hovyo,baadhi ya Madaktari wa hovyo, baadhi ya walimu wa hovyo ,baadhi ya mawaziri wa hovyo, baadhi ya wabunge wa hovyo , baadhi ya malecturer wa hovyo, maEnginia wa hovyo ,baadhi ya wahasibu wa hovyo ,baadhi ya Mashekhe wa hovyo ,baadhi ya manabii wa hovyo,baadhi ya wachungaji wa hovyo !Police wana lugha mbaya sana, waonevu sana na sio waelewa. wengi wanawaza rushwa tu muda wote na hata wakati mwingine kwa watu wanaofanya nao kazi huwa hawawaheshimu. kifupi polisi huwa sio wa kuwaamini, wote hata kama ni mtoto wako usimwamini,ni mtu anawea kukuchinjia baharini anytime. ndio maana wengi huwa hawaumii moyo kama polisi akitukanwa namna hii. wanaona poa tu. ni kutokana na matendo yao. ni tofauti kabisa na polisi wa mamtoni.
Traffic yupo kazn ulijuaje hakun sababu za msing kwa gar kuendelea kusimamishwa kumbuk Trafik anaongea na staff wa gar tuu/derev na wasaidz huyo mjed angepasw kuwaz tuu kutokn na utofaut wake akiwek neno linawez kuw na ukakasHii clip ni ndefu mkuu wamekata kipande tu huyo traffic ndiyo alianza kuonesha dharau Kwa kuchelewesha gari bila sababu za msingi abiria walipo taka ufafanuzi akiwemo mjeda ambaye alikuwa anaomba wamalizane na dereva ili wawahi ndiyo traffic akawa mkali na kumpiga mkwala mjeda kuwa asimfundishe kazi na ikawa mwanzo wa kutoleana lugha za kibabe ila traffic ndiyo mkorofi