Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Ulimwelewa Simbachawene lakini?

Alisema Polisi inabidi wachukue Division 4 na form four kwa Sababu wasomi wamekuwa ni wengi na wanatakiwa kupandishwa vyeo kulingana na utaratibu wao Kwa sababu hiyo mwishowe watakosekana watu wakulinda Benki na mageti majukumu ambayo yanahitaji kuhitimu kozi za kiaskari na sio digrii za mambo mengine. Wakichukua mwenye division one anapopata kazi anasoma fasta anamaliza six na kwenda Chuo kikuu. Na SHERIA inataka apandishwe cheo. Akipandishwa cheo SHERIA inampa majukumu tofauti na yule asiye na cheo.
Mwishowe nani atafanya kazi za chini?
Simbachawene na hata Sumaye wasiendelee kuajiri wasomi sana mana wamezidi na wakati Mwingine kazi Wala haihitaji digree. Mfano ukijaza wahasibu na Wataalamu wa Kilimo Toka SUA ndani ya Polisi watalisaidia ni Nini zaidi Jeshi la Polisi zaidi ya kuwapandisha TU vyeo na kuwategemea Bado wale wa Darasa la Saba. Jambazi livamia mtaani kupambana nalo ni Kwa kutumia mbinu za kipolisi sio CPA au udaktari bingwa Bali namna ya kutumia upolisi.

Kinachotakiwa ni kuboresha mafunzo ya vyeo vyao na taaluma ili yaendane na wakati na utaalamu wa kisayansi kama mitandao na teknolojia na waachane na mambo ya kuimba usiku kucha wakiingia darasana wanakua wamechoka akili zinazidiwa.
Mambo ya hovyohovyo yawe Kwa rekruit TU zaidi ya hapo wawe wanasoma kama Wataalamu na viongozi watakaokwenda kuonyesha busara zao na ubunifu.

Jeshi la Wananchi Kwa mfumo wao Hakiwezi kuwa na Wasomi wengi wa nje ya masomo ya Kijeshi Kwa sababu wanaopiganisha vita ni Vijana wadogo. Mtu mpaka amalize digrii anakua Mzee hawezi Tena kwenda kuwa mtaalamu wa medani za kivita. Ndio maana unakuta wale wa digrii ni maafisa wataalam TU wa kawaida lakini hawana utaalamu wa mapigano. Hao hawana tija sana kwenye Majeshi labda wakati wa amani. Na huwezi ukawakuta kwenye vita kama Huko Kongo n.k. Vita sio kukariri kwenye makaratasi. Vita ni field.
Polisi inahitaji wasomi mana Haina mapigano zaidi ya mipango na kutoa Elimu Kwa jamii na blablaa kama wanasiasa. Polisi ni kama wanasiasa TU hasa wale wa vyeo vya juu.
Umefafanua vyema sanaaa, nimekuelewaaa.
 
Lugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!

Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Soda na keki pia maana wapo wasiotumia bia
 
Mkuu umenyoosha san , nazn tu print hii comment yako tubandke pale Dodoma bungeni
Ukilinganisha Polisi wa Tanzania na WA mamtoni unakosea sana .

Watanzania wenyewe hawafuati SHERIA kama WAmamtoni . Wananchi wengi ni Wahalifu na wanahamasishana kufanya uhalifu Wenzetu wanahamasishana kufuata SHERIA .

Polisi ni zao la jamii hii hii isiyo na maadili wala kutii SHERIA. HALIKADHALIKA Wanajeshi.

Jiulize kunasababu Gani ya kumtukana Mtu Kwa kosa ulilolifanya Mwenyewe. ?

Tukisema kuwa Wanajeshi wavunje SHERIA Kwa sababu Polisi ni wabaya basi tunatengeza Taifa la hovyo .
 
Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.

Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".

Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.

View attachment 2482744
Mental Health ni tatizo
 
Kwa itifaki ya cheo huyo askari usalama barabarani ndie mwenye makosa, kiufupi huwezi kumuonya au kumpa maelekezo incharge (aliekuzidi cheo)
 
Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.

Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".

Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.

View attachment 2482744
Hivi unajua kuwa Askari jwtz ni mwenzako afutwe kazi kizembe zembe ama unaropoka.mbona zile Ni lugha za kijeshi za kawaida tu. Yule aliyejaa upepo anaonekana Hana mafunzo kabisa.
Wale Ni ng'ombe inakula ng'ombe nyingine zote mmiliki mmoja ujue.
Soulja sio mtu wa kawaida wewe jidanganye. Mtu aliyejitolea kufa IL wewe ule mbususu na ulale kwenye neti usiumwe nambu. Pia Ile sio kazi huwa wanajitoa. Huwa wanapata posho hakuna uwezo wa kumlipa mtu kufa kuwatetea wengine. Usiwe unaongea ongea Ile Ni dunia nyingine seema najua u layman huwezi nielewa
 
Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.

Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".

Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.

View attachment 2482744
 
Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.

Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".

Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.

View attachment 2482744
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna jwtz mmoja alileta haya mambo bar hakujua mwenzie ni polisi,alichapwa sana
 
Lugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!

Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz muwanunulie bia
Unapotosha Raia, hizo code names mfano kiboko,simba nk hazipo katika order of seniority, na matumizi yake ni kwenye radio call tu
 
No no no mkuu, ndio maana nchi hii bado sana na inachangiwa na generation kama hii ya kwako

Wewe ndugu yangu kubali kufanya utafiti na kujifunza mambo kiuhalisia achana na wanasiasa wanaoponda na kutukana Polisi Kwa sababu ya kuzuiwa mikutano ya Hadhara.

Hivi usomi wa Wakurugenzi ulisaidia Nini kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 ? Usomi wa majaji wa Tume ya uchaguzi ulisaidia Nini wakati wa Uchaguzi au uchaguzi wa mwaka 2020? Yaani Mkurugenzi na madigrii yake anakimbia ofisi ili asitoe Formu kisa analinda Ulaji wake. Kama Degree holder ni Chawa kiasi hicho inakuaje Kwa Darasa la Saba anayelinda ajira yake Kwa maelekezo ya wanasiasa?

Hivi umewahi kutafiti na KUELEWA kuwa Mwaka 2020 ndio mwaka uliokuwa na MaOCD ,Wakuu wa upelelezi, Wakuu wa Vituo na maafisa wenye nyota mpaka IGP wenye Digrii , masters mpaka PhD wengi kuliko mwaka wowote wa Uchaguzi hapa Tanzania ?? Lakini Cha ajabu wengi walijitikeza mpaka kuchukua fomu kupitia CCM na wakashirikiana na Wakurugenzi na maDC kama akina Sabaya kuvuruga uchaguzi Purposely. NI WASOMI WALIOFANYA UPUUZI ULE KWA MALENGO BINAFSI KAMA ILIVYO HULKA YA WASOMI WA KIAFRIKA ?

Jiulize ni Kwa Nini kila palipokua na mikutano au mpango wa kuzuia maandamano palikua na Mapolisi wasomi wenye vyeo vya juu na walikua wanahakikisha wazi kuwa wapinzani hawashindi ?

Wale wa Darasa la Saba wengi Wanavipaji halisi vya Kijeshi na wanauwezo mkubwa wa kuzuia Vurugu bila kuleta madhara Kwa sababu wengi wamejifunza wakiwa wadogo tofauti na wale wanye madigrii na vyeo wanaotafuta umaarufu na uteuzi.

Wale askari wa chini wengi wamehudhuria kozi nyingi za mapigano na ujasiri wa Hali ya juu ndani ya upolisi wao na sio digrii za Udom au SUA ambazo hazihitajiki kwenye mapigano ? Unaweza ukakutana na dogo wa Form four amefuzu kozi za Kung Fu na karate na anauwezo wa kumnyang'anya jambazi Silaha Kwa mbinu za kivita na amefuzu mafunzo yote ya Kipaolisi CCP halafu unamkashifu na kumtukana etu Kwa sababu Hana Digrii ya ushirika Moshi !! Ni Kushindwa kuheshimu taaluma za watu Kwa sababu ya ukosefu wa ajira na chuki TU ya kudhani kuwa kazi ya mtu Mwingine ni rahisi alimradi TU mtu ana digrii kumbe sio.

Ni msomi Gani anakubali kuwa askari wa chini ambaye Hana Sikukuu ,usiku ,Wala mchana Wala mvua Wala jua huku akiwa anakoromewa na WA juu yake au kuwa getini Kwa mkuu wa Wilaya halafu anayepita getini mlimaliza naye Digrii na ana Pass digee na wewe una First Class Digree na huna cheo mwaka wa 20 kazini ?
Tuache maneno ya kisasa mkuu . Tufanye utafiti na tuzungumze mambo Kwa uhalisia ili tuweze kuliponya Taifa Kwa haki ?
Ni Chuo Gani kinafundisha Shabaha na mapigano ya kujihami ya Judo au Kareti nje ya vyuo vya Kijeshi?
Sasa ukimuona mtu hamjasoma naye UDSM basi unaona hajui kazi yake ambayo hapo chuoni hakuna mafunzo hayo.
Mtu anaenda kupita kwenye Shimo la moto na risasi juu ataenda kusomea SUA badala ya CCP ?
Hivi watanzania mnashindwa kuamini Majeshi yenu?
Miaka ya 1995 na kuendelea mpaka 2005 askari wa Rwanda walikua wanapata mafunzo CCP na Sio Uingereza Wala China . Leo Rwanda Ina Polisi smart sana barani Afrika. Nyie mnabaki kusema Polisi wa Tanzania ni wajinga, hawajasoma n.k .

Kumbuka Jeshi la Polisi ni Jeshi kamili lenye mafunzo asilimia kubwa ya Kijeshi ndio maana tunapiga kelele ipatikane katiba mpya na SHERIA mpya za usalama wa nchi Jeshi libaki Moja TU ambalo ni Jeshi la Ulinzi JWTZ . Polisi iwe ni Idara ya Huduma ya Usalama wa Raia" Polisi Service Department ". Ili wakishapata mafunzo ya Kijeshi ya awali basi kozi nyingine ziwe ni za Elimu na Mbinu za kisayansi zaidi na sio kugaragara vichakani . Mapigano na vita ibaki kwenye Jeshi Moja TU.Tatizo Vyuo vya kipaolisi vyote ni vya Kijeshi muda wote kulingana na Taratibu za majukumu yalivyo.

Ukiondoa Amri kwenye Jeshi kazi za hatari haziwezi kufanyika. Tanzania ni Tofauti na Marekani au kwingine Ikitokea Vita Majeshi yote Wanakwenda ikiwemo Polisi mpaka mgambo na WA mwanzo kabisa kujaribu kukabiliana na uvamizi wanakua ni Polisi mpaka watakapobaini kuwa uwezo wa adui unahitaji zana kubwa za kivita ndipo Jeshi la Wananchi waingia Kwa nguvu kubwa.

Sasa utawezaje kuajiri Wenye Digrii za mitaani watupu ?
Digrii Chache zinahitajika kama SHERIA ,IT , Engineering, Uhasibu Kwa ajili ya utaalam wa kiofisi lakini sio mapigano ya nje.
Tatizo watu wanapoona wazungu wanaongea kingereza basi wanaamini kuwa ni wasomi kumbe ni wapuuzi TU mashoga wamejazana kwenye Majeshi yao na ndio maana walitaka wapandikize mashoga kwenye Jeshi letu wakashtukizwa.
 
Kinidhamu askari wa barabarani kakosea!

Huyo askari wa barabarani ni PC mwanajeshi ni staff serjeant. Askari wa barabarani hawezi kumuonya mwanajeshi kwa sababu ki protokali (yaani ngazi za kicheo) staff serjeant ni kiongozi wake.

Angemuita pembeni azungumze naye si kumuonya.
Kwa protocol jwtz wote ni Raia barabarani,sheria haimtambui askari hata polisi ambaye sio traffic
 
Back
Top Bottom