Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

Na alichonikera zaidi ni 'Poti' wangu kabisa yaani bora hata angekuwa tu ni Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mrangi au Mkara Mkuu.
Hizo kabila ulizotaja hazina mambo hayo ya ajabu. Kama kujiua labda Mhehe.
 
Very very sad. Watoto atalea nani? Akili zetu hizi
Ubinafsi huo, kaua mke, akajiua, bila kufikiria hawa watoto watatu watatunzwa na nani?? Bila mapenzi na malezi ya wazazi....😠
Sooo sad!
Pia doa stigma na psychological trauma aliyowaachia watoto, Mungu amuweke panapostahili.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Siku zako zinahesabika endelea kujisevia wake za watu. Hakuna ubaya unaodumu utakuja kukumbuka hii meseji.
 
Mbona kumuacha mtu kwa gafla nayo ni adhabu kubwa sana!

Angalia mateso endelevu alowaachia watoto na ndugu zake na za mke!

Watoto hawataacha kumlaumu baba yao milele!
 
Werevu wanasema tatizo au changamoto inapojitokeza huwa ni almost 10-20% lakini zaidi ya 80-90 % ni vile mtu husika anavyolikabili hilo tatizo!

Hata kama amemkuta ugoni sasa alichokipata na mateso watakayopata watoto vinahusiana vipi?!
 
Anaweza akasababisha roho za mauaji kiasi cha kuangamiza record ya kizazi chake [emoji24][emoji24]
 
Wanawake wa kumwaga wa kila aina !

Mwanamke au Mwanaume anakukosesha amani na raha ya nafsi si bora uachane naye?!
 
Akili kichwani mwao.
Kuna Jamaa dada yake anaishi na mkurya Yule dada karudi kwa kaka yake.kisa vipigo.
Yule Kaka MTU akimuuliza shemeji yake Yule shemeji anasema amempiga makofi tu.dada akiulizwa anasema jamaa uwa anampiga na mikanda.sasa mtu Kama huyo utaendelea kumruhusu akae na dada yako?ipo siku atakuja kumchoma visu
Kwahiyo wakurya wasioe? Haiwezekani.
 
Tupatie nasi hiyo elimu itusaidie..
 
utakuja kukatwa marinda usijiendekeze kula mali za watu.

kila mtu akikomaa kumridhisha mpenzi wake dunia itasimama hii,ndio maana kuna madaktari wanatibu wagonjwa ambao ni wahandisi wa majengo,ila hakuna mtu anayefanya kazi ya kuridhisha wake na wachumba wa watu.haipo kazi hiyo.
 
Ona sasa watoto wamebaki Yatima... Naamini wote wanajuta huko walipo.
FUNZO: Tujitahidi kadiri inavowezekana kuimudu mihemko/Hasira katika hali yoyote ile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…