Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Ofisa wa hizo taasisi ni takataka mbele ya hata private tatizo lako unakaza tu ubongo sina maana ya anawazidi mishahara au magari mazuri. fikiria
We jamaa ni Mjinga na usiye na akili kichwani, hawa wakata majani ya ng'ombe na vimishahara vya laki 6 6 6 hivi?
We ni mbwa kama private wenzako, na mtalala nje milele maana hata mkistaafu bado mnakimbilia kampuni binafsi za Ulinzi mbwa nyie.
 
kama kuna vita huko anAkokimbilia acheleweshwe kupita na trafiki? askari anaishi uraiani anawahi kambini kwake asimamishwe tena na mtaka hela ya kubrush viatu! vyombo vya dola viheshimiane
Angeenda masaa mawili before kama anawahi.
 
Uko sahihi kabisa, wanapewa subsidies katika vifaa vya ujenzi,pombe,magari etc,[emoji137][emoji137]
 
Kwenye matusi hata huniwezi shosti achana nayo. Ukiambiwa wanajeshi wana maisha mazuri ni lazima walipwe mshahara sawa na makatibu wakuu? Mshahara sio kipimo cha maisha bora
Wewe nawe usiwe mbishi...hayo maisha mazuri wameyatowa wapi?...

Itakuwa umeajiliwa juzi ,bado mshamba na vichenchi.
 
Private, corporal, Sargent,staff Sargent, lieutenant, captain, major,L colonel, colonel,... obvious atakua shule hafifu,,huyu ni mpiganaji wa chini kabisa jeshini [emoji137][emoji137][emoji137]
Form 4 uyo amesota miaka 10 ndo kaupata ukoplo mwaka jana
 
Elimu ndo upumbavu gani wewe, na elimu yako hiyo hata iwe kubwa vipi ni takataka kwa askari yoyote Tanzania
Sawa boy kurutae, Lakini ukimalizana na Court of law, itakutana na court martial, drill za kutosha kufyeka barabara ya bagamoyo kutoka ngome Mpaka junction ya kawe [emoji137][emoji137][emoji137] Acha kuchezea jeshi wewe!
 
Kwenye matusi hata huniwezi shosti achana nayo. Ukiambiwa wanajeshi wana maisha mazuri ni lazima walipwe mshahara sawa na makatibu wakuu? Mshahara sio kipimo cha maisha bora
Usibishane nae,itakua ndiyo yule waliekua amempa lift, maana walikua wawili, mwambie social welfare can't be measured by single factor, it is a set of quality and quantity evaluation of living standard [emoji137][emoji137][emoji137]
 
Unajua mshahara ngazi ya ofisa wew kuanzia nyota moja ww
 
Nilijua tu hiki kiburi kimefanywa na mjeda. Raia wa kawaida hawezi kufanya vile. Alafu alikuwa amebeba dem. Madem huponza
That was my doubt, kwamba mle ndani hakukua na pisi kaiongopea kuwa yeye ndiyo Brigedia jenelali wa brigedi ya Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakubeba mwanamke pale mbele, unaweza kuta alimwabia Sisi wanajeshi,tuko above the law [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaita watu takataka ? Mimi nimezaliwa jeshini na ninaandika hapa nikiwa kambini, hawana pesa

Angekuwa na pesa asingeendesha hilo li Nissan la miaka ya 90
wEwe hujui magari.. kuna gari huwa hazichuji.
1.Nissan patrol
2. Land cruiser
3.Land rover..

Hizo taka taka nyingine unazozifikiria wewe zipumzishe kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…