King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Dah! We sokwe mtu ni watumishi wangapi wanafanya hivi? Madaktari hawavalishi kiti clinical cot zao? Wahandisi wa ujenzi?
Hapa umepuyanga alafu kqzi hawafutwi kizembe zembe
Sasa pesa zinakujaje bila kazi?Aisee kuna jamaa wengi baada ya kupata elimu ya kutosha na kukitambua ...wameacha hizo kazi za wenyewe..mwanaume asifiwi kazi anasifiwa pesa.
Sikia maskari wote ni iron boy according to plato..iron boy ni watu wenye akili ndogo wanaotumia nguvu sana badala ya akili..ndio kilichotokea juziSasa pesa zinakujaje bila kazi?
Eti vibakuri😂, upo sahihi kabisa Mkuu, askari anayejielewa hana muda wa show off kabisa, ila hawa washamba ndio wanasumbua
Kuna jwtz mmoja hivo hivo siku moja road kagonga gari ya watu alafu akamuwahi aliyemgonga kumpiga beat,jamaa alitoka kwenye gari yake ana pingu ikabidi jwtz awe mpole
Sawq, vipi kuhusu maisha yaoSikia maskari wote ni iron boy according to plato..iron boy ni watu wenye akili ndogo wanaotumia nguvu sana badala ya akili..ndio kilichotokea juzi
Mshana Jr ile clip umeitendea haki?Wakili wa Serikali, Vailet Kyendesa ameiambia Mahakama kuwa Ramadhani akiwa akiiendesha gari binafsi T 433 ALB Nissan Patrol alikaidi amri ya kusimamisha gari na kujaribu kumsukuma askari wa usalama barabarani kwa gari lake.
Aisee kuna jamaa wengi baada ya kupata elimu ya kutosha na kukitambua ...wameacha hizo kazi za wenyewe..mwanaume asifiwi kazi anasifiwa pesa.
MT ni kifupi cha niniImedaiwa Mahakamani leo, kuwa MT 89487 CPL Hamis Ramadhan alishindwa kusimamisha gari yake katika kivuko cha watembea kwa miguu eneo la Mlimani City, barabara ya Survey.
Wewe nawe ni limbukeni,inaonyesha hujamuelewa Jamaa.Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Wanajionaga miungu watu.JWTZ bado baadhi wana ushamba sana, gari lenyewe la miaka ya 90 ndio anafanyia watu dharau
Ulimbukeni tu,haya maisha ukikaa utafakari ndio maana baadhi ya watu hawapewi maisha mazuri, Mungu anajuaga kabisa
Na hata km wamgekuwa na hizo pesa bado sio tiketi ya kumdharau mwenzako.1.polisi wa vyeo vya chini wanakula laki 5 ,kinachosaidia ni ration ,uwe lindo mgodini na vi saccos
2.jwtz pia hawafiki laki 8 ,huku napo vi mikopo au uwe peace keeping missions
3.magereza pia ni kama polisi tu
Vijana stories za jeshini kuna pesa sijui huwa wanatoa wapi, hawana pesa ya kumfanyia mtu madharau
Sasa unadhani kwanini huwa wanakuja kusoma kwenye hivyo vyuo?Hajielewi huyo ,inaonekana hajapita kabisa shule ,angepita vyuoni angeona wanajeshi waliokuja kusoma then baada ya kumaliza wakaachana na hiyo kazi wakafanya mambo mengine.
Sasa unadhani kwanini huwa wanakuja kusoma kwenye hivyo vyuo?
Mshahara wa mil 1 kukaa kwenye kota,kunywa bia zisizo na kodi ndio maisha mazuri?Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Hakuna jeshi linatoa mkopo wa gari/nyumba hapa Tanzania mkuu bali kuna taasisi ndani ya majeshi ambazo zinatoa mikopo ya pesa ndio pesa hizi askari hujenga na kununua magariPamoja na Mikopo ya nyumba na magari wanayopewa?
Acha maneno yako tumekulia katika kambi za jeshi wazazi wetu wapo uko tunayajua yote hayo jeshini hakuna pesa yoyote ya maana.Kaka unafikiri natania? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha nne kuna uwezekano wa kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha sita unaweza kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza degree, masters, n.k unaweza kuzipata? Basi hao wote ni takataka kwa wanajeshi ukiwa tu unafikiria sawasawa
Umesahau na kuvaa sare (wao huita uniform) kila muda kama mtoto wa primary 😂 (hapa natania)Mshahara wa mil 1 kukaa kwenye kota,kunywa bia zisizo na kodi ndio maisha mazuri?
Usikute basha wako mwanajeshi kaamua kukujaza uongo ili akugonge kiurahisiKaka unafikiri natania? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha nne kuna uwezekano wa kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha sita unaweza kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza degree, masters, n.k unaweza kuzipata? Basi hao wote ni takataka kwa wanajeshi ukiwa tu unafikiria sawasawa
Kuna mmoja asubuhi tunawahi uwanjan mida ya sasa kumi na mbili alivalishakoti kwenye kiti bahati mbaya Basi imebeba wa kubwa hili hapa linapita Kushoto kwetu. Niliona akiwa Ana haha kulitoa koti.Nazungumzia JWTZ ambao wanaofanya hivyo ni wale shuleless ,sijawahi kumuona mwenye cheo kikubwa ameweka kombati kwenye kiti cha gari.
Ukweli lazima usemwe acheni ushamba nyie shuleless ,JWTZ ni kazi kama kazi nyingine hivyo msijione mpo juu ya sheria....Mimi nina marafiki wengi wanajeshi lakini hawana tabia hizo za hao shuleless coz kidogo wamepita pita school.