Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

ukitaka kuamini mahasikali walivio malimbukeni sio polisi wa jwt wala magereza hata migambo nenda makongo au kawe ukaone walivio washamba
 
mmh hawa jamaa hasa wa vyeo vya chini nahisi mshahara sio mkubwa kivile maana kuna mmoja hata nguo kubadilisha ni nadraa. wenye nyota au maofficer hupewa magari.
 
hao wana jeshi wananini bhana tukonao kawe makongo mbweni goba mbona maisha yao duni tu humo kambini kwao kujikuza tu hawana lolote afadhari magereza wanaheshimu watu polisi jwt hawote wakisha vaa magwanda tu wanajio miungu watu
 
hao wana jeshi wananini bhana tukonao kawe makongo mbweni goba mbona maisha yao duni tu humo kambini kwao kujikuza tu hawana lolote afadhari magereza wanaheshimu watu polisi jwt hawote wakisha vaa magwanda tu wanajio miungu watu
Hizo sehemu ulizotaja zote unaishi wewe mtu mmoja?
 
Hayo majengo yenyewe wameanza kuboreshewa sasa hivi, hapo lugalo kuanzia 2014 kushuka chini walikuwa wanakaa kwenye vibanda chakavu vya mabati ukienda maliwatoni unakuta bonge la hall wote mnaingia mnaoga uku mnaonana tupu zenu.

Nyumba zenye uafadhali ambazo walikuwa wanakaa wakubwa zipo mkabala na makongo na kule kambi ya chui tena nyumba zenyewe ni choka mbaya.

Siwezi kulidharau jeshi letu naliheshimu sana ila uyo jamaa amesababisha tuandike yote mpaka tunaonekana tunalidharau jeshi
 
Ofisa wa hizo taasisi ni takataka mbele ya hata private tatizo lako unakaza tu ubongo sina maana ya anawazidi mishahara au magari mazuri. fikiria
  • huyo private wa Jeshi ana kitu gani Cha Maana kulinganisha na mabosi wa eGA TCRA, EWURA, LATRA, TRA? Ana IQ kubwa au anatumia nguvu nyingi badala ya akili nyingi kwenye kufanya mambo?
  • hebu tuambie kitu Gani Cha Maana kinachomfanya Private ambaye ni form four failure (most of them) kumzidi hadhi mabosi na maofisa wa EWURA, LATRA, eGA, TCRA?
  • hivi unajua salary na allowance za hao maofisa niliokutajia wanaweza kuwalipa private hata 5 ? That is Salary scale ya ofisa mmoja wa EWURA anaweza kuwalipa private 5?
 
Mwanajeshi anaweza kuwa boss wa hizo taasisi ila huyo wa hizo taasisi hawezi kuwa mwanajeshi THINK
- huyo mwanajeshi ambaye anaweza akawa boss kwenye hizo taasisi unadhani ni mjinga kama ww? Ni mwanajeshi Msomi na mwenye Cheo Cha juu maybe brigedia,meja jenerali nk, ambao kimsingi ni maofisa wa Jeshi wenye nidhamu na utii na wako matured hawana mambo ya kijinga kijinga na wewe private wa Form4?
 
Kulikuwa hakuna haja ya huyo jamaa yako kwenda mahakamani kufungua kesi.angeenda moja kwa moja kambini kwao kushtaki hakika angeisoma namba angekuheshimu mpaka kufa
 
Kati ya sehemu wanafundisha nidhamu ni jeshini, nashangaa askari uliyefunzwa unashindwa kutii sheria ndogo kama hizo za barabarani, hii inahitaji akili gani? kama unanidhamu utashindwa vipi kuheshimu kazi ya mtu.

Jeshi halihusiki na utovu wa nidhamu unaofanywa na watumishi wake, mtumishi akideviate uraiani atashughulikiwa na mahakama za kiraia.
 
Hakuna kitu hapo wan mishahara ya kawaida Sana na wana maisha ya kawaida Sana ya mtanzania wa kipato Cha kati,sijawahi ona mwanajeshi tajiri Tanzania 😅na wana elimu ndogo pia wengi wao ,so bloo kajipange,btw mimi ni madam sio kaka 😅
Kuna mjeshi nimesoma nae yuko hapo chalinze ana nyumba ya slope..na anaendaga sana congo...unaielewa slope? Ni zile nyumba ambazo haina haja ya ramani...unajenga tu mradi upate chumba na korido kama jengo la shule🚮
 
Mimi siko huko jeshini kaka. Elimu ya Tanzania kwa kiwango kikubwa ni takataka kwa sababu nimeajiri watu wawili wana elimu kubwa kunizidi hawa kikawaida walipaswa kuwa level za mishahara nayotajiwa hapa ya 50m
Kumbe we tatizo elimu ndo maana unaongea utumbo, jitahidi uwapeleke watoto wako shule, ukiwa na hela bila elimu kuna vitu vinapungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…