and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Huwezi jua anajipanga vipi, Watu wana akili na malengo tofauti, Kuna mtu ana millions za pesa anaendesha escudo old model plate number A.Kuna mjeshi nimesoma nae yuko hapo chalinze ana nyumba ya slope..na anaendaga sana congo...unaielewa slope? Ni zile nyumba ambazo haina haja ya ramani...unajenga tu mradi upate chumba na korido kama jengo la shule🚮
Kabisa Mkuu, wazazi baadhi ndio maana hawataki watoto wabaki jeshiniKweli wanaodanyanyana ni wale ambao hawana hata member mmoja kwenye familia ambaye mwanajeshi au hajui kabisa maisha yao ,sasa mtu amekaa kotaz ,amezaliwa kotaz jeshini ,anaonana nao kila siku halafu kuna poyoyo anakuja hapa na kudanyanya watu kwamba wana mishahara mikubwa na wanaishi maisha mazuri.
JWTZ ni kazi kama kazi nyingine tu ,no any special coz hao wanajeshi wametoka uraiani na ni ndugu na marafiki zetu ,tunawaona na tunakunywa nao kitaani.
Wao hawaringii pesa ,Bali mabavu Yao Kila mtu anaringia chake1.polisi wa vyeo vya chini wanakula laki 5 ,kinachosaidia ni ration ,uwe lindo mgodini na vi saccos
2.jwtz pia hawafiki laki 8 ,huku napo vi mikopo au uwe peace keeping missions
3.magereza pia ni kama polisi tu
Vijana stories za jeshini kuna pesa sijui huwa wanatoa wapi, hawana pesa ya kumfanyia mtu madharau
Kwani wewe unasemea wanajeshi wa wapi mkuu..? Wanajeshi wana maisha ya kimaskini kabisa sema zinawabeba hizo ration...wanajeshi wanakaa kwenye slope..na wamejenga changanyikeni 20*20!akijitahid sana atamiliki crownNatamani kuandika maneno magumu sana ila hapa sio twitter! Ni hivi mzazi wako alikuwa mgambo sio mwanajeshi. Vipi alifanikiwa kujenga hata kajumba akiwa kazini?
Tunaongelea maisha ya wajeda kuwa ni ya kawaida mkuu rudi kwenye main pointHuwezi jua anajipanga vipi, Watu wana akili na malengo tofauti, Kuna mtu ana millions za pesa anaendesha escudo old model plate number A.
Nafikiri ni MAGEREZA TANZANIAMT ni kifupi cha nini
Kuringia mabavu yamepitwa na wakati, utawaringia waoga tu. Mletee mabavu raia halafu aende kukushtaki kwa wakubwa zako ndio utaelewa kwanini maharage sio matundaWao hawaringii pesa ,Bali mabavu Yao Kila mtu anaringia chake
We fala wanajeshi gani wenye maisha mazuri?Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Kila mtu ana maana yake ya kuwa na mafanikio, mmoja akipata baiskeli ni ndoto imetimia mwingine anawaza siku moja awe na G Wagon, success means to get something you hoped for, tupo tofauti each person has a different perspective and their own definition for satisfaction..Tunaongelea maisha ya wajeda kuwa ni ya kawaida mkuu rudi kwenye main point
We jamaa huna akiliKaka unafikiri natania? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha nne kuna uwezekano wa kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza kidato cha sita unaweza kuzipata? Unazijua ajira ambazo ukimaliza degree, masters, n.k unaweza kuzipata? Basi hao wote ni takataka kwa wanajeshi ukiwa tu unafikiria sawasawa
Hapo sawa MkuuWao hawaringii pesa ,Bali mabavu Yao Kila mtu anaringia chake
Hizi viporo vya kande unafakamia kwa shemeji yako bana.Sengwile makamanda?
Sengwile kumanya?
Haiwezekani kamanda kupigwa na polisi.
Atailipia, aeh
Atailipia aeh.
Abandu bandu bandu bandu banduba baba
Abandu???
Maisha mazuri yapi hayo?hasa kwa hawa wa vyeo vya chini tunaoishi nao mtaani?Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Na ushamba huo kamwe huwezi kumkuta unafanywa na mwanajeshi mwenye cheo kuanzia nyota moja!!ni hao wenye elimu ndogo ndogo,ndio wenye ushamba huo.Hata kama angevaa sare, pale ni kivuko cha watembea Kwa miguu
Kwani ukavaa sare ndio uko juu ya sheria?
Ni utamaduni Tu umejengeka but ni Jambo la kishamba,
Kuna siku niliona wanajeshi wanamsukuma traffic pale ubungo mataa ili wao wapite
Tena wanapita kwenda home sio vitani
Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Nilijua tu hiki kiburi kimefanywa na mjeda. Raia wa kawaida hawezi kufanya vile. Alafu alikuwa amebeba dem. Madem huponza
Pamoja na Mikopo ya nyumba na magari wanayopewa?
wote tuna tegemeana hata mimi raiya nibora kwa sababu na vuja jasho hili huyo mlinzi alipwe mshahara wake kwa nn ajione bora kuliko wenzie? mala awataki kulipa sh 500 ya daladala mwenge kariakooMkose huyo mlinzi uone moto
huo sasa ushamba na utotoAkiitwa mwanajeshi na hizo kada zenye mishahara mikubwa kwenye hafla yoyote nani anakaa hightable? Na unadhani ni protocol tu ile?
Bro labda tu nikuweke waziNatamani kuandika maneno magumu sana ila hapa sio twitter! Ni hivi mzazi wako alikuwa mgambo sio mwanajeshi. Vipi alifanikiwa kujenga hata kajumba akiwa kazini?