Askari wa kike kwenye maofisi hasa mabenki, ni dhaifu mno!

Hili nimeliona hata TRA ya pale millenium tower, yule dada alishindwa kudhibiti wasiofuata utaratibu wa kuchukua leseni za udereva, ikabidi akaitwe yule wa kiume, ndio wale wakaidi wakatii, ndio maana nikasema maofisi mengi, sio Benki tu
 
Reactions: Tsh
Sasa wewe ulitaka huyu askari afanyeje ampige lisasi au? Jamii umekosa ustarabu civilization toka nyumbani kwetu sioni kama askari analosa lolote hapo nyie wengi mge muelimisha huyu jama jinsi ya kuishi na jamii
Kabisa
 
Kwa tuliosoma vyema Saikolojia na kubahatika kidogo ( tena kwa Kubahatisha ) kupitia Mafunzo machache na ya Awali ya Kimedani tumefundishwa kuwa Mwanamke hapaswi na wala hapendezi kuwa Askari na pia ni Hatari kwa Wao kuwa hivyo na hata kama akiwa hivyo basi kwa 99% usije Kuthubutu ukamuamini.
 
Kabisa
 
Hao ni waangalizi sio askar, nahisi ww ndio umekosa busara unaonekana ni mtu wa hovyo unayependa sana kuabudiwa BTW Kwan bank si kuna polisi? Kwa akili zako mtu ana kirungu unategemea jambazi akija na Ak 47 amfanye nn?
 
Kwanini mimi ndiye niliyempangia silaha ya kuwa nayo? Hao walioona kirungu kinafaa ndio wamefanya utafiti wakaona hivyo, sasa watekeleze wajibu wao!
 
Huyo askari nae kapewa utaratibu na benki wa kutobugudhi wateja,utamlaumu bure kabisa.
 
Sasa wewe ulitaka huyu askari afanyeje ampige lisasi au? Jamii umekosa ustarabu civilization toka nyumbani kwetu sioni kama askari analosa lolote hapo nyie wengi mge muelimisha huyu jama jinsi ya kuishi na jamii
Mtoa Huduma ndiye alitakiwa hasitoe huduma
 
Sasa wewe ulitaka huyu askari afanyeje ampige lisasi au? Jamii umekosa ustarabu civilization toka nyumbani kwetu sioni kama askari analosa lolote hapo nyie wengi mge muelimisha huyu jama jinsi ya kuishi na jamii
Civilization inakujaje kwenye protocol?
Usifikili hakuna protocol za kudili na huyo bwege ambae hataki kupanga foleni.
Mimi sizijui ila huyo askari anazijua protocol za kudili na huyo bwege sababu hiyo ndo taaluma yake hivyo hakutakiwa kusema "nimeshamwambia Sasa Mimi nifanyeje?"

Alichotakiwa kufanya ni ku_initiate protocal.
 
Ulitegemea huyo askari dada amkunje jamaa shati amtoe nje? Wakati nyie madume mpo tu mmesimama hata back up ya maneno mlishindwa kutoa!? Kafanya vizuri kuachana nae mana hakua akihatarisha chochote na hata angemkomalia.. sana sana meneja angeingilia Kati ili huyo mteja mkorofi ahudumiwe haraka aondoke ili amani iendelee kutawala. Mteja hafukuzwi aisee.
 
Nikamfuata askari wa kiume, machine gun nzito mkononi, ile njemba kabla hata hajafikiwa na kamanda, akajiongeza, akarudi nyuma kabisa!!

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…