PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lis
waambieni Lissu Lema na Heche hiyo dose wanayompa malikia wa anga ni kubwa sana. watamuua wajameniiiii
 
We fanya kazi yako maalum, ila stage hi ikishindikana, kifuatacho tunaenda kuwa kama Congo. Chadema mnayoionea haina ubavu huo wacha inyanyaswe. Subiri mziki kama wa m23 utaanza ki aina yake. wambie maboss zako inakuja .....
Watu Kama lissu, heche,lema na kina mwakubusi Mbona wanaelezea vizuri TU. Sijui kwanini MACCM yanaigopa no reforms no ELECTION
 
We fanya kazi yako maalum, ila stage hi ikishindikana, kifuatacho tunaenda kuwa kama Congo. Chadema mnayoionea haina ubavu huo wacha inyanyaswe. Subiri mziki kama wa m23 utaanza ki aina yake. wambie maboss zako inakuja .....
nendo huko congo na familia yako gentleman, hakuna atakae babaika nawe
 
Magenge gani ya wahalifu sasa hapo? Hahaha 😂 😂 😂 watekaji mmeshndwa kuwakomesha
ni pamoja na wahaini na vibaka na matapeli wa kisiasa ambao ni wahubiri chuki, fujo na vurugu ambao miongoni mwao wameshatiwa nguvuni tayari na vyombo makini sana vya ulinzi na usalama nchini
 
ni pamoja na wahaini na vibaka na matapeli wa kisiasa ambao ni wahubiri chuki, fujo na vurugu ambao miongoni mwao wameshatiwa nguvuni tayari na vyombo makini sana vya ulinzi na usalama nchini
Mahakama zipo wazi washtKiwe kama ni wahani sio police wapiga raia mabomu ya machozi unless otherwise we are now officially a police state or banana Republic
 
Mahakama zipo wazi washtKiwe kama ni wahani sio police wapiga raia mabomu ya machozi unless otherwise we are now officially a police state or banana Republic
relax na usikate tamaa,
hiyo kitu ni mbaya sana,

but its clear kwamba criminals are in police custody na at anytime from Monday nextweek, watapelekwa mahakamani kwa pilato bila wasiwasi wowote tena mchana kweupe kwenda kujibu mipango ya uovu wao
 
Kuna haja ya kuingia ubia na m23, watupe majembe ya kazi, kuni ngoja ziongezwe
Kwa hali tuliyofikia, anahitajika mtu wa kulianzisha tu. Maana hakuna namna nyingine. Hakuna kitu kinachoudhi kama kile cha kuona mtu anakuibia haki yako ya msingi kwa nguvu huku ukiwa unaona, halafu unakosa cha kumfanya.
 
Sasa kumeanza kuchangamka! Hizo ndizo heka heka tulizokua tunazitaka. Sio unajiita mpigania ukombozi harafu hauna purukushani
 
Lengo wanataka kukivuruga chadema... Ccm ikizidiwa unatumia polis
 
Siasa zikiingiliwa na polis basi hakuna siasa Tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…