Askari wavamia kanisa Mbeya kuwafuata wafuasi wa CHADEMA

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Hili ni Kanisa Katoliki Mwanjelwa Jijini Mbeya.

Hao ni Askari wakiwa na defender 3. wameenda kuwaondoa wafuasi wa Chadema wanaodaiwa kuwa wamevaa sare zenye uwiano na za Chadema.

Hivi kwani kanisani kuna mavazi maalumu ya kuvaa.?

E7IP5ehXIAETQCL.jpeg
 
View attachment 1867548
Yes Kanisani unatakiwa uvae walau nguo za kijani,
 
Hili ni Kanisa Katoliki Mwanjelwa Jijini Mbeya.

Hao ni Askari wakiwa na defender 3. wameenda kuwaondoa wafuasi wa Chadema wanaodaiwa kuwa wamevaa sare zenye uwiano na za Chadema.

Hivi kwani kanisani kuna mavazi maalumu ya kuvaa.?

View attachment 1867548
hata Mfalme Sauli ukomo wa yeye kuwa mfalme ulipokaribia alitapatapa hata akawaua makuhani kwa sababu walimpa Daudi mkate.
 
Wakumbushe kuwa aliyekua Mkurugenzi was Itigi alienda akafyatua risasi Kanisani akamuua muumini mmojja, as we speak Yuko Lupango na Godfather wake ameshazikwa....yuko yeye na baadhi ya Askari.....
 
Back
Top Bottom