Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Pole kwa familia
Dah!Tena usikute simu ya order kwenda kuteka mtu.
Chadema chakavu hawajawahi kuwa na akili.Watu wanashangilia tu
Mimi nitoe hapo kwenye hilo kundiKwa niaba ya wanajf, natuma salamu za pole kwa kamanda wa mkoa husika
Kuna mkufunzi wetu wa ATC aliwah kutuambia kwamba radi haiwez kukupiga eti kisa unatumia kifaa cha electronicSimu Haina uhusiano na radi, labda kama utakuwa imeunganishwa na chaja.
sasa mkuu we tena OC-CID kabisa halafu hutaki salamu za poleMimi nitoe hapo kwenye hilo kundi
Radi ya mama hiyo mkuu.Dah!
Sio tunashukuru kama ni askari acha wafe tu ,Punguza uoga master kama ni kufa utakufa tu.Tunashukuru kwa Taarifa