Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama.

Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro ambapo askari waliofariki dunia ni Joseph Nyamoko na Issa Masoud na Kamanda wa Polisi Manyara ameeleza kuwa mipango ya kusafirisha miili ya askari hao inaendelea kwa uratibu wa Jeshi la Polisi na Familia za wahusika.

Kulingana na wanajamii wa Askari Polisi hao na Mwenyekiti wa Mtaa wa Kilimahewa andrew Nyambo, amesema Nyamoko ameacha Mke na watoto wawili sawa na Issa ambaye pia ameacha Mke na watoto wake wawili.
Habari kama kichekesho kumbe kweli.
Mungu awa rehemu
 
Mungu fundi wao wanateka na kuua usiku yeye anawafyatua kwa mafungu mchana kweupe ngoja tuone
 
Back
Top Bottom